Kutokana na mgomo wa mabus na Malori leo ndo ingependeza wenye gari binafsi kufanya road trip kabambe

Kutokana na mgomo wa mabus na Malori leo ndo ingependeza wenye gari binafsi kufanya road trip kabambe

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
9,024
Reaction score
18,683
Salaam wakuu.

Kama heading inavyojieleza, kwa siku ya leo barabara haina msongamano kabisa hivyo kama una road trip yako na gari yako binafsi leo ilikua siku safi sana ya kutembea na kuipima mapafu chuma yako bila ya usumbufu wa manjagu.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom