conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,134
- 811
salamu wana bodi
leo pia nimetafakari maamuzi ya mkuu wa mkoa kuhusu stendi.
kama ilivyo ada tunatarajia kuona idadi ya mapato endelevu imeongezeka stendi,waharifu na wahamiaji halamu wanaokamatiwa magufuli na kushtakiwa mahakamani na mapato ya kodi au ushuru kwa serikali yameongezeka na msongamano umepungua kwa kiasi kikubwa.
lengo ni kupima oparesheni ile kwa kiwango cha muda mfupi na muda mrefu.
lakini naomba kuuliza je shekilango mbagala gongolambotona unungo sio dar?uchumi wa usafirishaji unapimiwa magufuli pekee?
kwa kua kila kwenye stendi au vituo "bubu" kulikua na vijana na watanzania wengine wameajiriwa na kujiajili kwa nafasi au kada kama zinazopatikana magufuli. kuanzia boda boda bajaji mama lishe na wabeba mizigo.
wazo langu,je tukiruhusu baadhi ya vituo binafsi na vikaw vinalipa leseni na kodi na tozo mbali mbali je hatutakuwa tumeongeza tija na kuboresha mnyororo wa thamani katika sekta ya usafirishaji na hatutakua tumezalisha ajira kama ilani ya sisiemu invosema?
pili hizo mia tatu tatu hao wenye mabasi wakipewa nafasi ya kuzikusanya na kuziwakilisha km inavyokuwa pasenti ya ewura,lea nk kwenye mafuta na huduma zingine hatutakuwa tumekusanya pesa kwa njia rahisi?
tatu,zamani asie na tiketi halisi au inayokubalika ndie anapaswa kulipia getini na alikua anaitwa msindikizaji na lengo ni kuzia wazururaji na vibaka,je kama mteja kalipa tiketi na basi linalipa ushuru kumtoza mteja tena ushuru wa stendi sio tozo mara mbili au ni biashara inayojitegemea haina uhusiano na huduma ya usafirishaji?kwa kua tunajua mabasi yana leseni na vibali na yanalipa tozo na kodi je abiria akilipishwa anakuwa amekwenda mbuga za wanyama au?
nne,kabla ya kusitisha tulijitathimini kuanzia choo na usalama?naomba mpitie huduma za vyooni pale stendi mjue kuwa kwenye ndoa za watu mnaleta magonjwa kwa kutumia vyooo vilivyo ktk mazingira mabaya au bwana afya na meneja wana mobile toilet?
mwisho kulinganisha stendi za mabasi na viwanja vya ndege au bandari au stendi za treni sio sawa ndio maana hata mamlaka za usimamizi ni tofauti jamani EEE sheKhe sio padri hata kama wote wanAEneza habari za MUNGU mmoja muumba wa dunia na vitu vyote