Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

dahil

New Member
Joined
Oct 1, 2026
Posts
3
Reaction score
30
Habari wana JamiiForums,

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia.

Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua anachotaka katika maisha.

Kwa upande wa familia, ningependelea mwanaume km ana watoto wasiozidi wawili.

Sina haraka ya kuingia kwenye uhusiano kwa sababu ya kuwa tu kwenye uhusiano. Ningependa kwanza tufahamiane vizuri, tujenge mawasiliano yenye heshima na kuona kama tunalingana kimtazamo, kitabia na katika malengo ya maisha. Ikiwa Mungu akipenda, lengo liwe ndoa na familia yenye amani na upendo.

Mwanaume mwenye nia ya dhati na anayejiona kwenye maelezo haya, karibu tuanze kufahamiana. 😊❤️

Asanteni.
 
Wanawake wa aina yako mara nyingi huishia tu kuchezewa na wahuni na baadaye kutupwa dampo. Kwa sababu hadi unafikia huo umri wa miaka 35 umeshakutana na wanaume wengi tu! Wazuri na wabaya. Bahati mbaya ulishindwa kufanya uchaguzi sahihi. Kwa hiyo usitegemee utapata chaguo sahihi kwa wakati huu.
 
Huenda mpaka 35 bahati yake ilikuwa bado. Mama yangu mdogo aliolewa akiwa 40 ila hakuwa na mtoto. Wapo mpaka dadika hii na mume wake yeye yupo 78 sasa
 
Habari wana JamiiForums,

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia.

Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua anachotaka katika maisha.

Kwa upande wa familia, ningependelea mwanaume km ana watoto wasiozidi wawili.

Sina haraka ya kuingia kwenye uhusiano kwa sababu ya kuwa tu kwenye uhusiano. Ningependa kwanza tufahamiane vizuri, tujenge mawasiliano yenye heshima na kuona kama tunalingana kimtazamo, kitabia na katika malengo ya maisha. Ikiwa Mungu akipenda, lengo liwe ndoa na familia yenye amani na upendo.

Mwanaume mwenye nia ya dhati na anayejiona kwenye maelezo haya, karibu tuanze kufahamiana. 😊❤️

Asanteni.
Singomaza huyo jamani anaomba nusra, hawa akina Natafuta Ajira
 
Mungu akupe haja ya moyo wako.
 
Wanawake wa aina yako mara nyingi huishia tu kuchezewa na wahuni na baadaye kutupwa dampo. Kwa sababu hadi unafikia huo umri wa miaka 35 umeshakutana na wanaume wengi tu! Wazuri na wabaya. Bahati mbaya ulishindwa kufanya uchaguzi sahihi. Kwa hiyo usitegemee utapata chaguo sahihi kwa wakati huu.
Daktari naona kama unapiga kwenye mshono mara 2 hivi.
 
Habari wana JamiiForums,

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia.

Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua anachotaka katika maisha.

Kwa upande wa familia, ningependelea mwanaume km ana watoto wasiozidi wawili.

Sina haraka ya kuingia kwenye uhusiano kwa sababu ya kuwa tu kwenye uhusiano. Ningependa kwanza tufahamiane vizuri, tujenge mawasiliano yenye heshima na kuona kama tunalingana kimtazamo, kitabia na katika malengo ya maisha. Ikiwa Mungu akipenda, lengo liwe ndoa na familia yenye amani na upendo.

Mwanaume mwenye nia ya dhati na anayejiona kwenye maelezo haya, karibu tuanze kufahamiana. 😊❤️

Asanteni.
Awe anajua anachokitaka kwenye maisha si ndy 😂😂😂😂. Sawa atapatikana na umesema Kwa uchache awe na watoto 2 si ndy na awe na umri kuanzia miaka 38-40 basi usijali wapo na watakuja mrembo
 
Habari wana JamiiForums,

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia.

Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua anachotaka katika maisha.

Kwa upande wa familia, ningependelea mwanaume km ana watoto wasiozidi wawili.

Sina haraka ya kuingia kwenye uhusiano kwa sababu ya kuwa tu kwenye uhusiano. Ningependa kwanza tufahamiane vizuri, tujenge mawasiliano yenye heshima na kuona kama tunalingana kimtazamo, kitabia na katika malengo ya maisha. Ikiwa Mungu akipenda, lengo liwe ndoa na familia yenye amani na upendo.

Mwanaume mwenye nia ya dhati na anayejiona kwenye maelezo haya, karibu tuanze kufahamiana. 😊❤️

Asanteni.

Haujachelewa. Na utapata mtu sahihi.
Maneno mengine ya kukuvunja moyo naomba usiyaweke akilini au moyoni.

Kuna ndoa zinafungwa mtu akiwa na miaka 23 na kuvunjika 30. Na kuna ndoa zinafungwa mtu akiwa na miaka 38 na zisitetereke na ikawa familia bora ya mfano wa kuigwa.

Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
kwa imani Yako ya Kikristo Mshirikishe na mkabidhi Mungu maombi yako.
 
ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia.
Siyo kwa ubaya, kama unataka mtoto jitahidi ndani ya hii miaka miwili upate hata bila ndoa coz kwenye uzazi upo nyuma ya ratiba hasa kwenye nchi zetu.

Huu ni ukweli mchungu lakini ni tiba.Kwako mtoto kupata ni rahisi ila ndoa naona itakuwekea ukuta kwenye suala zima la uzazi.

Coz mtahitaji msomane na muelewane which inachukua muda fulani huku suala la uzazi likizidi kuwa kipengele.

Your peak reproductive years, when you have the most eggs available to you, fall between your late teens and late 20s. Once you hit your 30s, your fertility (your ability to get pregnant) begins to decline.

Back
Top Bottom