Ina maana tangu una miaka 20 hadi 34, kweli hukufatwa na mwanaume hata mmoja ambae alikua na nia ya dhati ya kukuoa? dahillengo liwe ndoa na familia yenye amani na upendo.

Wanaume wenyewe hawa kina Bichwa komwe wanaofirwa?Ina maana tangu una miaka 20 hadi 34, kweli hukufatwa na mwanaume hata mmoja ambae alikua na nia ya dhati ya kukuoa? dahil
Ongezea kabila lako hapa, na kama una mtoto/watoto elezea pia.Habari wana JamiiForums,
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia.
Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua anachotaka katika maisha.
Kwa upande wa familia, ningependelea mwanaume km ana watoto wasiozidi wawili.
Sina haraka ya kuingia kwenye uhusiano kwa sababu ya kuwa tu kwenye uhusiano. Ningependa kwanza tufahamiane vizuri, tujenge mawasiliano yenye heshima na kuona kama tunalingana kimtazamo, kitabia na katika malengo ya maisha. Ikiwa Mungu akipenda, lengo liwe ndoa na familia yenye amani na upendo.
Mwanaume mwenye nia ya dhati na anayejiona kwenye maelezo haya, karibu tuanze kufahamiana. 😊❤️
Asanteni.
Huyu wa 35yrs ni mhitimu kabisa wa hayo mambo.Mimi na Madelu ni wa baba mmoja, kimoko tu, nageukia ukutani nakoroma kama jenereta ya yamaha. Yanini kujichosha ndugu zanguni? Maisha yenyewe mafupi haya.
Je utaniweza?
Wenzako wanapigwa shaba wewe huogopi?Habari wana JamiiForums,
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia.
Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua anachotaka katika maisha.
Kwa upande wa familia, ningependelea mwanaume km ana watoto wasiozidi wawili.
Sina haraka ya kuingia kwenye uhusiano kwa sababu ya kuwa tu kwenye uhusiano. Ningependa kwanza tufahamiane vizuri, tujenge mawasiliano yenye heshima na kuona kama tunalingana kimtazamo, kitabia na katika malengo ya maisha. Ikiwa Mungu akipenda, lengo liwe ndoa na familia yenye amani na upendo.
Mwanaume mwenye nia ya dhati na anayejiona kwenye maelezo haya, karibu tuanze kufahamiana. 😊❤️
Asanteni.
Ungependa kwanza mfahamiane vizuri kivipi??Hayo mawasiliano ya heshima kwanza ndo yapi??Habari wana JamiiForums,
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 35, nipo kwenye hatua ya maisha ambayo ningependa kukutana na mwanaume mwenye mtazamo wa ndoa na kujenga familia.
Ninayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua anachotaka katika maisha.
Kwa upande wa familia, ningependelea mwanaume km ana watoto wasiozidi wawili.
Sina haraka ya kuingia kwenye uhusiano kwa sababu ya kuwa tu kwenye uhusiano. Ningependa kwanza tufahamiane vizuri, tujenge mawasiliano yenye heshima na kuona kama tunalingana kimtazamo, kitabia na katika malengo ya maisha. Ikiwa Mungu akipenda, lengo liwe ndoa na familia yenye amani na upendo.
Mwanaume mwenye nia ya dhati na anayejiona kwenye maelezo haya, karibu tuanze kufahamiana. 😊❤️
Asanteni.
Wabillah tawfiqHabari wana JamiiForums,

Msimkatishe tamaa hili ni swala sensitive sana nashangaa wanaume nao wanatafuta wa kuwaoa humu humu wakati wanaotaka kuolewa wapo tayari na vigezo wanataka imani na uaminifu tu sio degree wala visa ATM.Unaweza kukuta kwenye ile ID yako ya zamani ulikua na nyodo kinoma,
Ndio maana ukafungua ID mpya.
Unakosea kututenga Sisi wa 50's ya jioniNinayemtafuta ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38–45, Mkristo, mwenye heshima, uaminifu, upendo, hekima na anayejua anachotaka katika maisha.
Wanawake wa aina yako mara nyingi huishia tu kuchezewa na wahuni na baadaye kutupwa dampo. Kwa sababu hadi unafikia huo umri wa miaka 35 umeshakutana na wanaume wengi tu! Wazuri na wabaya. Bahati mbaya ulishindwa kufanya uchaguzi sahihi. Kwa hiyo usitegemee utapata chaguo sahihi kwa
Hii umeitoa wapi? Kuna amri au sheria inayosema ukifika umri fulan hupaswi kuoa au kuolewa , Mtu anaolewa au kuoa akiwa na huo utayar na sio umri fulaniWanawake wa aina yako mara nyingi huishia tu kuchezewa na wahuni na baadaye kutupwa dampo. Kwa sababu hadi unafikia huo umri wa miaka 35 umeshakutana na wanaume wengi tu! Wazuri na wabaya. Bahati mbaya ulishindwa kufanya uchaguzi sahihi. Kwa hiyo usitegemee utapata chaguo sahihi kwa wakati huu.
Unauhakika na ulichosema? au kwa kuwa unauhiru wa kutoa maoniSingomaza huyo jamani anaomba nusra, hawa akina Natafuta Ajira
Sasa mbona nimekubali hujibu chochote, au una nitega mkuHabari wana JamiiForums,