Kumbe inawezekana kujenga barabara kutoka Zanzibar kuja Tanzania Bara?

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
2,375
Reaction score
4,784
Baada ya kuangalia ramani inayoonesha kina cha bahari, nimegundua ya kwamba kuna eneo la magharibi ya Zanzibar ambalo lina mwambatano wa kina kifupi sana cha bahari na visiwa vidogo vidogo ambavyo inanipa ishara kwamba huko mbeleni miaka ijayo inaweza kufanyika land reclamation ya kujaza vifusi na kuweka barabara kutoka Zanzibar kuja Tanzania Bara.
zanzibar.png

Sehemu korofi nimegundua zipo kama mbili hapo nilipoziwekea x ambazo zina kama urefu wa kilometer 12 zote mbili ambazo itabidi kutengenezwe madaraja marefu baharini.

Hiyo Barabara itawezekana tu ikiwa itatokea Bagamoyo maana ndo inakaribiana na hiyo pwani ya magharibi ya kisiwa cha zanzibar ambacho kuna msururu wa visiwa na kina cha maji ni kifupi sana.
 
View attachment 3652937

Inawezekana lakini haitakuwa na faida kiuchumi maana ni ghali mno
 
Izo xxx kina chake kinasomaje urefu
 
Wajaribu kwanza kujenga Ferry Kigamboni
 
Back
Top Bottom