Poleni Sana ndugu zangu,
Hasa wale tunaopitia uraibu WA kamari. Kama wewe sio mraibu au hujawahi kumbwa na uraibu HUU sio ujumbe wako.
Baada ya KUPOST Ile post ya jinsi nilivyofilisika na kupoteza ZAIDI milion 27 Hadi 30
Nimekua nikipata Direct Messages watu wakijaribu kuniomba kushare ideas ...
Km watekaji waliendesha muda mrefu kabla ya habari za kutekwa kwake kuja hewani basi watakuwa waliingia boda ya Somalia
Barbara ya Uganda sidhan km watekaji walienda Ina checkpoint nyingi
praying for you Twaha
Ubaki hai
hivyo
ila
ili
inawezekana
katika
kiwanja
kununua
kusema
mashetani
mtaa
mtu
nataka
shetani
siku
upimaji
upimaji wa viwanja
ushetani
viwanja
wake
wamarekani
Kuna simu alikuwa anaitumia X girlfriend wangu. Baada ya kuachana kanirudishia simu. Aliniomba laki 3½ anunue simu.
Baada ya kuachana jana kanipigia simu nataka kuonana na wewe. Nikaruhusu tuonane naye bar jirani na kwake.
Baada ya maongezi akasema hataki tena kumbukumbu zangu. Hebu shika simu...
Habari za wakati huu Wakuu.
Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali.
Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering.
Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
RIP pole pole wala sio kuzunguka kama alivyosema nyuma ya pazia kuhusu serikali
Sisi tunaweza kuona nchi ina serikali na raisi ila mfahamu ina watu wachache ambao wanaweza kujionesha wapo na sisi na ni watu wa watu kumbe ndio wakoloni aka masultani,wafalme,mungu watu na n.k.ambao uwezi kuona...
Wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Morogoro, nilibahatika kufika katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, ambako nilikutana na jambo lililonishangaza sana.
Kuna shule iliyopo mjini Mahenge ambayo ndani ya eneo lake kuna wananchi wanaoishi katika baadhi ya majengo yanayodaiwa kuwa...
Anonymous
Thread
eneo
eneo la shule
halmashauri
inawezekana
kuuza
ndani
shule
vipi
Lissu Yuko mbele ya Muda dhidi ya CCM na wanasheria wote wa CCM.
Kwa kifupi watu wengi hawakuelewa,hata Mimi sikumuelewa aliposema mashahidi wake ni RAIS Samia,CDF,IGP,DGTISS na Kingai.
Kwa kifupi alipowataja Hawa kua ndio mashahidi wake alikua amelenga mitego miwili kwa ajili ya kupiga TKO...
Tunashuhudia wahitimu vilaza mno wasiojua kutofautisha R na L ...lakini waliokosa uzalendo na wenye matusi kwenye mbongo zao na ndimi zao.
Kwangu mimi haya ni matokeo ya kuifanya Elimu kuwa ni biashara badala ya huduma muhimu kwa Taifa.
Hatujachelewa ni muda muafaka sasa wa kuongeza regulations...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kumtafakari Mungu, kuna maswali nimekuwa najiuliza kumhusu huyu Mungu wa Wakristo na Waislamu ambaye ni Mungu Mmoja,Mungu wa Ibrahimu na wanae Ismail na Isaka,na sheria ya Mungu kwa dini hizi mbili ni sheria ya moja ya Musa, ambaye japo ndie Muumba wa dunia hii...
Kama inavyosemakana binadamu alivyoumbwa ametokana na wanyama tena ikaonyeshwa kama nyani nadhani kwwnye uumbajiMungu alisahau baadhi ya vitu.
Ukiangalia nyani miguu yote ina vodole ambavyo kwenye kujishika vinajishika kwe nye kuruka miti /matawi yaani miguu ya mbele ina vidole vinajishika...
Mafundisho makuu ya Yesu Kristo ni Upendo.
1. Kuwapenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe
2. Kuwapenda na kuwaombea maadui zako.
3. Ukipigwa shavu moja ugeuze na lingine
4. Kusamehe saba mara sabini
5. Kutopenda kujikusanyia mali/ kuwa tajiri bali kusaidia masikini na wahitaji.
Haya...
Lissu kuwaita mashahidi mahakamani akiwemo Rais wa nchi imekaaje kisheria ?
Kuna kizuizi chochote cha Sheria kuzia rais aliye madarakani kuwa shahidi katika kesi iliyo mahakamani?
Shahidi anaweza kutuma mtu kumuwakilisha kwa niaba yake mahakamani?
Wana jamvi kwema?
Kama inawezekana kukataa kuandikwa kama mrithi wa baadae wa wazazi naombeni utaratibu wa kisheria ili kukamilisha jambo hilo.
Mmiliki bado yupo hai ...lakini nahitaji kujitoa ktk makaratasi ambayo namimi nimeandikwa kama mrithi wa baadae wa wazazi..
Sitaki chochote
Baada ya kuangalia ramani inayoonesha kina cha bahari, nimegundua ya kwamba kuna eneo la magharibi ya Zanzibar ambalo lina mwambatano wa kina kifupi sana cha bahari na visiwa vidogo vidogo ambavyo inanipa ishara kwamba huko mbeleni miaka ijayo inaweza kufanyika land reclamation ya kujaza vifusi...
Mbinguni ni dimension nyingine ambayo imetuzunguka hapa hapa kwenye mazingira yetu au ni eneo fulani kwenye ulimwengu au galaxy yetu. Kama ni dimension nyingine basi hakuna habari ya kupaa, ni kitendo cha kuingia humo na kutoka.
Kama ni sehemu fulani kwenye huu ulimwengu basi kuna uwezekano...
Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao.
Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.