Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Mafundisho makuu ya Yesu Kristo ni Upendo.
1. Kuwapenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe
2. Kuwapenda na kuwaombea maadui zako.
3. Ukipigwa shavu moja ugeuze na lingine
4. Kusamehe saba mara sabini
5. Kutopenda kujikusanyia mali/ kuwa tajiri bali kusaidia masikini na wahitaji.
Haya mambo ukiyaangalia ni kama nadharia tu, hakuna mtu anayeishi hivi au anayeweza kuishi hivi katika dunia ya sasa hata awe mwema kiasi gani, binadamu wote tunaongozwa na ubinafsi wetu kwanza zaidi. Sina uhakika hata katika nyakati zilizopita kama kuna aliyeweza kuishi hivi.