Inawezekana kweli Lissu amewatangulia Wanasheria wa CCM kwa miaka mia moja mbele

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,833
Reaction score
8,777
Lissu Yuko mbele ya Muda dhidi ya CCM na wanasheria wote wa CCM.
Kwa kifupi watu wengi hawakuelewa,hata Mimi sikumuelewa aliposema mashahidi wake ni RAIS Samia,CDF,IGP,DGTISS na Kingai.
Kwa kifupi alipowataja Hawa kua ndio mashahidi wake alikua amelenga mitego miwili kwa ajili ya kupiga TKO.
Leo ndio nimegundua baada ya kupelekea kumaliza kesi kiaina na kirahisi sana.

Mtego wa kwanza alijua hata wakija hawana ushahidi wa kweli kua alitaka kupindua nchi yeye peke yake,hivyo atawashinda.

Mtego wa pili alikua fika hawatakuja kwa kua hawana ushahidi kua lisu alipanga njama peke yake za kuangusha serikali hivyo atashinda.

Kama mtakumbuka mwanzoni alimuuliza mtu je mpango wangu wa uhaini Mkuu wa Usalama wa Taifa anajua?
Je CDF anajua ,?
Je IGP anajua ,?
Mlipeleka taarifa kwa Wakuu hao?
Majibu yakawa hapana.
Mtu akaulizwa,Sasa tukio kubwa kama hili watu Wazito kama Hawa hawakua na taarifa,mko serious kweli nyinyi?

Leo Kingai kasema siwezi kua shahidi wako na nitafurahi ukikutwa na hatia na wenzangu Wana msimamo kama wangu.

Kwamba watafurahi akikutwa ana hatia,kwa hiyo hata Kingai Hana uhakika kama Lisu ana hatia.!

Sasa kama hawana uhakika kama atakutwa na hatia walimfungulia mashitaka ya uhaini kwa ushahidi upi?

Aisee kesi imeishia hapo,labda endeleeni kupoteza nguvu na pesa TU.

Kama kweli walikua wanataka kumtia hatiani Lisu na kama kweli walikua Wana ushahidi ,Hawa Wakuu wanne ndio wangemmaliza Lisu.

Maana taarifa zote za ulinzi na usalama wa nchi za Kila siku zinapitia mezani kwao,haijalishi Lisu ana maswali magumu na ya kudhalilisha kiasi Gani,kama Wangekua na ushahidi ,wangemkaanga TU.

Wangejitia wababe kwamba waje wamkaange Lisu Kwa ushahidi wa uongo,Dunia ingeingia kwenye rekodi ya Wakuu wanne wa Vyombo vya Dola kua waongo zaidi duniani.

Jamani,kutetea uongo ni ngumu sana.

Iko hivi,kesi kama ya akina Hatty Mack Ghee(Hatibu Ghandi),Rugangira,Ngaiza,Eugin Maganga,Comando Taminu na Wenzao hata angeitwa Nyerere,Kawawa na wenzao waende Mahakamani wangeenda kwa sababu kulikua Kuna ushahidi usio na chembe ya mashaka.

Nchi inawezaje kuangushwa na mtu mmoja?
Yaani mhaini mmoja TU,aliataka kupindua nchi.
 
You are putting the horse before the cart.

Wait for final outcome of the case b4 we start breaking out champaigne corks.

You have no freaking idea what the verdict of the case will be.

DO NOT ANTAGONIZE THE JUDGES. AT THIS TIME BE HUMBLE
 
Chama Cha Mazezeta
 
Ndio mtu mmoja anaweza kutengeneza kikundi cha uasi na kupindua nchi, Osama bin Laden aliishambulia Marekani, huko yeye akiwa amejificha mapangoni Afghanistan! Tumia akili
 
Kwani hukumu ya hii kesi ni lini wajuvi au itachukua muda gani kutangazwa hukumu
 
Ila CHADEMA mna kelele mitandaoni!
Haya kawazidi kwa miaka 100 then what!?
 
Kwanini mwanasheria mkuu wa chadema taifa anadharaulika mno pale Chadema?🐒
 
Ndio mtu mmoja anaweza kutengeneza kikundi cha uasi na kupindua nchi, Osama bin Laden aliishambulia Marekani, huko yeye akiwa amejificha mapangoni Afghanistan! Tumia akili
Hicho kikindi cha uasi alichotengeneza Lissu kiko wapi? Peleka ushahidi kwa akina Ndunguru. Hata kujua kwamba Osama hakuwa rubani wa hata ndege moja kati ya 4 zilizohusika katika shamblio la Marekani hujui?1
 
Sasa kama hawana uhakika kama atakutwa na hatia walimfungulia mashitaka ya uhaini kwa ushahidi upi?

Aisee kesi imeishia hapo,labda endeleeni kupoteza nguvu na pesa TU.

Hii kesi ukiifuatilia hakuna mahali popote ambapo kunaonesha kwamba mshtakiwa "alikula njama..."

Sasa kama hakuna njama, sijui kosa linatokeaje!!!
 
Ndio mtu mmoja anaweza kutengeneza kikundi cha uasi na kupindua nchi, Osama bin Laden aliishambulia Marekani, huko yeye akiwa amejificha mapangoni Afghanistan! Tumia akili

Ushaongezea kwamba kulikuwa na marubani, hadi hapo ni zaidi ya mtu mmoja Osama...

Ushahidi kwa ugaidi wa Osama upo mwingine mwingi tu kama NSA na CIA waliweza kunasa sauti za mipango ya ugaidi, waliweza kugundua miamala ya kifedha n.k

Sasa kwa kesi ya Lissu, wengine waliokutwa na mashtaka au hatia wapo wapi?

Kielelezo pekee hadi sasa tunachosikia kikitajwa kwenye kesi hii ni kipande cha video clip kilichowekwa Youtube na Jambo TV, na aliyekipandisha sio Lissu...
 
You are putting the horse before the cart.

Wait for final outcome of the case b4 we start breaking out champaigne corks.

You have no freaking idea what the verdict of the case will be.

DO NOT ANTAGONIZE THE JUDGES. AT THIS TIME BE HUMBLE
Member!
 
Back
Top Bottom