Inawezekana kweli Lissu amewatangulia Wanasheria wa CCM kwa miaka mia moja mbele

Inawezekana kweli Lissu amewatangulia Wanasheria wa CCM kwa miaka mia moja mbele

Hakuna fashion ya kwenda nayo. Ilo neno linaakisi uhalisia wa mnachofanya. Zamani nilikuwa nawaamini sana, kumbe ni wazee wa kutwist stori ili kuonesha chama fulani kinapendwa.
Siku mihemko ikikuisha utaelewa.
Nasema hivi, acha ulimbukeni wa kurukia kila neno linalotrend. Simamia maneno yako na sio kufuata Mkumbo.
 
Jamaa kajibu kwa kifupi tu, kwamba yeye na wengine ambao mshtakiwa kawaita hawawezi kutoa ushahidi wa kumtetea mshitakiwa kwa sababu na wao ni sehemu ya washtaka.

Sasa hizi ngonjera za kupotosha sijui mnazitoa wapi? Mnawalisha watu maneno ambayo hayajasemwa na kupotosha ili majibu yakitoka tofauti na upotoshaji wenu muanze kulaumu mahakama.
Mbona sasa wewe ndiyo unamlisha Lissu maneno?
 
Ila huwa nawashangaa sana wanaovutia hii Kesi upande wa Lissu bila kuona Faida gan wanayo upande wa pili.

hawa mashahidi kutokufika Mahakamani ni pigo kwa Lissu.
Tena wamemuambia maneno bold kuwa wao wako upande wa mashtaka.

Sasa mtu anawaza kuwa eti hii ni faida ya Lissu. Wakati kiuhalisia haijakaa sawa upande wake. Maana mahakama haijapata/kurekodi ushahidi ambao Lissu alikusudia kuuonyesha kutoka kwa hawa mashahidi.
ni Pigo kwa Lissu.

Kuna mahala mtego umefichwa na wengi humu hamjaubaini. Kingai kaongelea man3no yale nje ya mahakama kwa maana ya kizimba na majaji hawakushirikishwq kwa maana ya kumwapisha.
Kwa maneno mengine kaidharau mahakama.
Hii technicality inakwenda kumwachia huru Lissu.
 
Kuna mahala mtego umefichwa na wengi humu hamjaubaini. Kingai kaongelea man3no yale nje ya mahakama kwa maana ya kizimba na majaji hawakushirikishwq kwa maana ya kumwapisha.
Kwa maneno mengine kaidharau mahakama.
Hii technicality inakwenda kumwachia huru Lissu.
Unamaanisha shahidi anayepaswa kukutetea asipofika kizimbani kukutea unakuwa umeshinda kesi?
 
Lissu Yuko mbele ya Muda dhidi ya CCM na wanasheria wote wa CCM.
Kwa kifupi watu wengi hawakuelewa,hata Mimi sikumuelewa aliposema mashahidi wake ni RAIS Samia,CDF,IGP,DGTISS na Kingai.
Kwa kifupi alipowataja Hawa kua ndio mashahidi wake alikua amelenga mitego miwili kwa ajili ya kupiga TKO.
Leo ndio nimegundua baada ya kupelekea kumaliza kesi kiaina na kirahisi sana.

Mtego wa kwanza alijua hata wakija hawana ushahidi wa kweli kua alitaka kupindua nchi yeye peke yake,hivyo atawashinda.


Mtego wa pili alikua fika hawatakuja kwa kua hawana ushahidi kua lisu alipanga njama peke yake za kuangusha serikali hivyo atashinda.

Kama mtakumbuka mwanzoni alimuuliza mtu je mpango wangu wa uhaini Mkuu wa Usalama wa Taifa anajua?
Je CDF anajua ,?
Je IGP anajua ,?
Mlipeleka taarifa kwa Wakuu hao?
Majibu yakawa hapana.
Mtu akaulizwa,Sasa tukio kubwa kama hili watu Wazito kama Hawa hawakua na taarifa,mko serious kweli nyinyi?

Leo Kingai kasema siwezi kua shahidi wako na nitafurahi ukikutwa na hatia na wenzangu Wana msimamo kama wangu.

Kwamba watafurahi akikutwa ana hatia,kwa hiyo hata Kingai Hana uhakika kama Lisu ana hatia.!

Sasa kama hawana uhakika kama atakutwa na hatia walimfungulia mashitaka ya uhaini kwa ushahidi upi?

Aisee kesi imeishia hapo,labda endeleeni kupoteza nguvu na pesa TU.

Kama kweli walikua wanataka kumtia hatiani Lisu na kama kweli walikua Wana ushahidi ,Hawa Wakuu wanne ndio wangemmaliza Lisu.

Maana taarifa zote za ulinzi na usalama wa nchi za Kila siku zinapitia mezani kwao,haijalishi Lisu ana maswali magumu na ya kudhalilisha kiasi Gani,kama Wangekua na ushahidi ,wangemkaanga TU.

Wangejitia wababe kwamba waje wamkaange Lisu Kwa ushahidi wa uongo,Dunia ingeingia kwenye rekodi ya Wakuu wanne wa Vyombo vya Dola kua waongo zaidi duniani.

Jamani,kutetea uongo ni ngumu sana.

Iko hivi,kesi kama ya akina Hatty Mack Ghee(Hatibu Ghandi),Rugangira,Ngaiza,Eugin Maganga,Comando Taminu na Wenzao hata angeitwa Nyerere,Kawawa na wenzao waende Mahakamani wangeenda kwa sababu kulikua Kuna ushahidi usio na chembe ya mashaka.

Nchi inawezaje kuangushwa na mtu mmoja?
Yaani mhaini mmoja TU,aliataka kupindua nchi.
Labda ipigwe simu kwa majaji kama alivyowahi kusema ROSTAM AZIZ,vinginevyo TAL ana point tatu na magoli matatu.
 
Ndio mtu mmoja anaweza kutengeneza kikundi cha uasi na kupindua nchi, Osama bin Laden aliishambulia Marekani, huko yeye akiwa amejificha mapangoni Afghanistan! Tumia akili
Unajiona una akili lkn ukweli hunazo.
Hadi kufikia kesi ilipofikia Tundu Lisu Yuko jela peke yake kwa kula njama za kutaka kuangusha serikali.
Je angeangusha peke yake?
Huyo Osama bin laden hakupanga njama peke yake,na alisakwa yeye na kikundi chake Cha Al Qaeda pamoja na viongozi wenzake.
Lkn pia mpango ukitekelezwa na Vijana wake.
Sasa wewe unaejiona unatumia akili umedanganya watu wanaojua historia,
Inawezekana Wakati September 11 inatokea ulikua hujazaliwa ama ulikua kwenu kijjijini unawinda ndezi.

Soma hapa uone Bin laden alipanga njama za ugaidi na watu wengi sana.
total of 19 terrorists associated with al-Qaeda carried out the plane hijackings during the September 11, 2001 attacks. [1, 2]
The FBI Announces List of 19 Hijackers includes the following individuals grouped by the flight they hijacked:

American Airlines Flight 11 (Crashed into the North Tower of the World Trade Center)
    • Mohamed Atta (Pilot / Egypt)
    • Abdulaziz al-Omari (Saudi Arabia)
    • Wail al-Shehri (Saudi Arabia)
    • Waleed al-Shehri (Saudi Arabia)
    • Satam al-Suqami (Saudi Arabia) [1, 2]

United Airlines Flight 175 (Crashed into the South Tower of the World Trade Center)
    • Marwan al-Shehhi (Pilot / United Arab Emirates)
    • Fayez Banihammad (United Arab Emirates)
    • Ahmed al-Ghamdi (Saudi Arabia)
    • Hamza al-Ghamdi (Saudi Arabia)
    • Mohand al-Shehri (Saudi Arabia) [1, 2, 3, 4, 5]

American Airlines Flight 77 (Crashed into the Pentagon)
    • Hani Hanjour (Pilot / Saudi Arabia)
    • Nawaf al-Hazmi (Saudi Arabia)
    • Salem al-Hazmi (Saudi Arabia)
    • Khalid al-Mihdhar (Saudi Arabia)
    • Majed Moqed (Saudi Arabia) [1, 2, 3]

United Airlines Flight 93 (Crashed in Shanksville, Pennsylvania)
    • Ziad Jarrah (Pilot / Lebanon)
    • Saeed al-Ghamdi (Saudi Arabia)
    • Ahmed al-Haznawi (Saudi Arabia)
    • Ahmed al-Nami (Saudi Arabia) [1, 2, 3]

If you want, tell me:
  • Do you need information on the masterminds and planners (like Osama bin Laden or Khalid Sheikh Mohammed)

Hata baada ya bin laden kuuliwa USA waliendelea kuwasaka waliokua washirika wa bin Laden.
Mmojawapo alikua ni mwenye asili ya Misri Polisi mstaafu Mohamed Al Zawakhil huyu aliishi Mafichoni Afghanistan akiwa na watu wengine wengi.
 
You are putting the horse before the cart.

Wait for final outcome of the case b4 we start breaking out champaigne corks.

You have no freaking idea what the verdict of the case will be.

DO NOT ANTAGONIZE THE JUDGES. AT THIS TIME BE HUMBLE
Watu wengi wenye kufahamu MAHAKAMA za TANZANIAN tunaweza kutabiri maamuzi ya mwisho ya kesi hii.
Kama watu wengi tulivyotabiri ripoti ya Mzee Chande.

Hivyo hakuna jipya,ni kama vile TU tunavyosubirigi matokeo ya uchaguzi Mkuu kulingana na Tume ya RAIS ya uchaguzi Mkuu wa TANZANIAN.

Tuliambiwa Mbowe ni gaidi je gaidi anatembea mitaani na kaenda kumpa pole Mjane,wakiwa wawili TU Gaidi na Mjane huoni ni hatari hiyo kwa Mjane?
 
je mpango wangu wa uhaini Mkuu wa Usalama wa Taifa anajua?
Je CDF anajua ,?
Je IGP anajua ,?
Mlipeleka taarifa kwa Wakuu hao?
Majibu yakawa hapana.
Mtu akaulizwa,Sasa tukio kubwa kama hili watu Wazito kama Hawa hawakua na taarifa,mko serious kweli nyinyi?
Wamempotezea muda na pia kodi zetu zimetumika VIBAYA sana.
 
Je umejiuliza kwa nini Kingai alikuwa na ujasiri wa kufika ndani ya mahakama lakini akakosa uthubutu ya kuwakabili majaji?
Swali la kijinga hili hata hivyo ngoja nikujibu.
Huyo aliyemtaja alikataa kumtetea mshtakiwa moja kwa moja akapoteza sifa ya kuwa shahidi wa utetezi.
Acha mihemko
 
Back
Top Bottom