Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,846
- 6,838
Kuna simu alikuwa anaitumia X girlfriend wangu. Baada ya kuachana kanirudishia simu. Aliniomba laki 3½ anunue simu.
Baada ya kuachana jana kanipigia simu nataka kuonana na wewe. Nikaruhusu tuonane naye bar jirani na kwake.
Baada ya maongezi akasema hataki tena kumbukumbu zangu. Hebu shika simu yako.
Nikamwambia mimi sijawahi kukupa simu. Nilikupa hela ukanunue simu. Akainuka kwa hasira na kuibwaga hapo mezani.
Nikaichukua na kwenda nayo home. Nilipoiwasha nikakuta ina mkopo wa watu. Imefungwa.
Je naweza kuiformat nimpe mdogo wangu awe anaitumia?