Simu yangu bei yake ni ya moto na haishuki bei sokoni ila sio A06Samsung A06 dukani haizidi 270k
Pumbavu zenu acheni mpigwe tuu mana faida ya kuwa mjinga ni kuwanufaisha wengine
inawezekana ilani illegal...kazi ya magendo..Sina contract na mkopeshaji yoyote
Unatafuta kesi kwa lazimaSina contract na mkopeshaji yoyote
hapo huna kesi wewe id zako hazitambulik na hata ukiafutws simu haionekan kwenye system yakoIpi hiyo?
Basi achana nayoNalipa nini na mimi sina mkataba wa mkopo?