Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
Kila nchi ina lugha ya Taifa, lakini pia ina lugha za Makabila.
Mfano kama Tanzania unakuta kunamakabila zaidi ya 100 na China hivyo hivyo.
swali linakuja je, kunauwezekeno wa kisukuma ukakuta kinazungunzwa ndani ndani sana huko Japan?
Usikute nakosa connections za Wafipa wenzangu waliopo...
===
CCM YASIKITISHWA KIFO CHA MJUMBE WA SEKRETARIETI YA CHADEMA YATOA POLE.
"Nimeona kwenye Vyombo vya Habari kuanzia asubuhi mpaka sasa nitoe pole kwa Chama cha Chadema kwa kumpoteza mmoja wa Wajumbe wa Sektarieti bwana Ali Kibao nimekuwa nikifuatilia sisi ni vyama vya siasa linapokuja suala...
Kwa mtu ambaye tayari ni muajiriwa, na anataka kusoma degree nyingine, je aanze na uhasibu then CPA ndio afanyiwe recategorization, au haiwezekani kusoma CPA bila kua na degree ya uhasibu? Kama ilivyo school of law? Maana school of law ni lazima mtu amalize bachelor ya LLB?.
Salaam wakuu,
Imenibidi nihoji maana generetion yetu sio poa.sio walio kwenye ndoa sio walio kwenye mahusiano ya kawaida, sio wachumba kukosa uaminifu imekuwa kitu Cha kawaida sana.hadi naogopa.
Kuna visa nimesoma na kushuhudia vingi,zaidi sana matukio vinanifikirisha
Kucheat imekuwa kitu Cha...
Habari wakuu,
Kwa mfano tupo kati kati ya mjadala fulani wa michezo nikaamua kuingia google nikaenda kwenye website ya mwanasport ni mfano tu lakini nikascreenshoot picha kama hii hapo chini
Kisha nikaipost humu ili kunogesha mjadala
Inaonyesha muda nilio screenshoot ni saa 12 na dakika...
Habari wana jf.
Nimejiuliza labda nimechelewa kupata ufahamu wa hili jambo. Je, inawezekana kwa Mtanzania (Mtanganyika). Kuomba uraia wa Zanzibar na kuwa Mzanzibar katika taifa la Tanzania.
Akapata haki ya ku miliki (ardhi) na fursa za ajira zinazo tangazwa kwa wazanzibari pekee?
Kwani wa...
Wakuu,
Kufuatia tukio la binti alibakwa na kuingiliwa kinyume cha maumbile wadau mbalimbali wamelaani na kuitaka serikali itoe tamko na kuwakamata wote waliohusika.
Kufikia jana imetoka taarifa kwamba vijana waliohusika kutenda unyama huo wameshikiriwa. Lakin kama ambavyo tuliwaona waliohusika...
Kwa mwendo WA ukataji ticket wa mashabiki wa simbasc ulivyokua na Kasi wanaeza kuuza ticket zote siku mbili kabla ya Tamasha, kwasasa bado 15% tuu wauze ticket zote, wakati kule upande wa Yangasc bado mambo magumu! Tena sanaaaa
Mimi Kwanza naona kinqchowaponza zaidi yanga kuna mvutano kwa...
Naona taarifa la Jeshi la Police la Kenya likisema litashirikiana hadi na taasisi zingine za kiraia katika kuchunguza miili 11 ilio kutwa.
Watashirikiana na Law Society of Kenya(LSK) hawa LSK ni mwiba mkari sana kwa Serikali ya Kenya hawa hawacheki cheki hawajipendekezi kama ilivyo Tanganyika...
Je inawezekana ukaomba mfano singida lakini ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba kwenye hizi ajira na je ni bora kuomba kwenye mikoa ambayo Haina ushindani Yani watu hawaipendi?
Tanzania tumekuwa tukipata wakati mgumu namna ya kuimarisha uchumi wa taifa ambo ndio dira ya Taifa kwa jamii nzima Katika kukua kwa uchumi na kuachana na umasikini;
Naitwa Raphael Edson mkazi wa mafinga iringa
Tanzania tumekuwa tukifanya maendeleo ya macho na si mwendo kwa muda mrefu kwasababu...
Nipo najaribu kutafakari nawezaje kufanikiwa from nothing yaani ile zero to something nakosa majibu wakati Mimi nakosa majibu Kuna mtu anatoa ushuhuda wa kuanza na biashara ya mtaji wa elfu kumi mpaka kufanikiwa kumiliki biashara ya mamilioni inawezekanaje wakuu.?
Unakuta kuna uhaba wa ajira sekta fulani mfano uhandisi, ualimi, udaktari na sekta mbali mbali.
Lakini kuna watu wengi ambao wapo katika hizo fani na wengine wanafanya kazi ambazo hata haziwapi uzoefu au kuongeza maarifa kwa walichosomea/ taaluma yao. Kwa sababu mbali mbali moja wapo ikiwemo...
1. Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini
2. Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya...
Ajali nyingi zikitokea huwa tunasema ni uzembe wa dereva mm sikatai Kuna muda ni kweli ila Kuna muda nakata sio uzembe wa dereva Bali ni uzembe wa mmiliki wa hicho chombo.nitatoa vitu vinavyo weza kumaliza tatizo la ajali Tanzania miaka mitano mpaka kumi ijayo kama serikali ikiamua
1. Gari...
Tanzania ya Kijani inawezekana
Yafuatayo yaweza fanyika katika Sekta ya Mazingira:
Tanzania ina ukubwa wa takribani Km za mraba 945,087. Ni moja ya nchii liyojaliwa kwa ukubwa ardhi yenye rasilimali nyingi, maliasili na hifadhi nyingi za wanyama, misitu, maziwa na maeneo asili ambayo yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.