Unajua maisha ya sasa hivi kila mtu analia kilio chake, huyu atalia sauti ndogo, yule kubwa, yule mwingine atalia kimoyo moyo ila wote tunalia na kubwa linalotoa watu machozi ni Ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, nk.
Leo nitaongea na walimu tu ambao wengi hulalamika ajira hamna,maisha magumu na...
Kwa wale Wajuzi wa mambo ya urembo naomba kujua kama hilo linawezekana kwani nina rafiki yangu Mdada, ni mrembo na ana chale mbili ndogo kwenye mashavu yake.
Bado sijamuuliza kama zinamkera ila ningetaka kwanza kujua kama kuna uwezekano wa kuzifuta ili atakaposema hazipendi basi niwe kwenye...
Habari zenu wana jf,
Nilikuwa naomba nipate msaada kuhusu computer hardware mimi sina uzoefu sana na I.C.T ila niko inspired nayo shada ni C.P.U yangu ni aina ya DELL dimension 4100 kiukweli ni ya zamani hivyo nilikuwa natamani niifanyie maboresho.
Swali
Je, nina weza kuchange motherboard...
Je, inawezekana chanjo ya Virusi vya Corona kupatikana kwa usawa?
Seth Berkley kutoka Muungano unaotoa Chanjo (kulia, karibu na Bill Gates) akitoa wito wa kupatikana kwa chanjo ya Covid-19 kwa kila mmoja
Lakini tayari kuna wasiwasi kuhusu vile suluhisho la virusi vya corona kutoka kwa...
Namaanisha hivi...
Mim sikufanikiwa kuhitim form four niliishia form three kutokana na ishu za uchumi. Lakini kutokana na uwezo wangu ulikua mzuri kiakili yaani sikua kilaza. Baada ya kupata kibarua kiwandan nilifanikiwa kujilipia technical college pale techno brain(Dar es salaam) ambako wao...
Nimesikiliza kauli moja tu ya mtumishi wa Mungu Mchungaji Msigwa akikiri kuwa ana undugu na Rais Magufuli.
Na zaidi Mchungaji Msigwa akasema kama wanafamilia "wao" wana namna wanavyoshughulikia mambo yao.
Nilichojiuliza ni kwanini Mchungaji Msigwa hajawahi " Kujimwambafy" kwamba yeye ana...
Mbona mheshimiwa Lugola anachunguzwa yuko huru. Hebu wajuvi wa mambo tuelezeni. Kuna watu kadhaa wapo mahabusu kwa tuhuma za kesi za uhujumu uchumi bila dhamana takwa la kisheria (moja ya sheria kandamizi kwa mtazamo wa wengi).
Cha ajabu waziri wa zamani mambo ya ndani kangi lugola mheshimiwa...
WANAJAMVI, hebu leo tujumuike kujadili hili swala la barabarani ambalo imekua kero kwa muda mrefu sana. Kitu kimoja ambacho mimi huwa kinanitia hasira ni jinsi traffic wanavocontrol juntion kwa upendeleo, yani kama wale tunaopita njia ya morrocco kwa kuelekea kawe ni matatizo mkuu, unaweza kukaa...
Jamani wanajamvi hebu tukusanyike leo tiudiscuss hii mada kwa pamoja, ni kwa muda mrefu sana tumekua na mazoea kwamba ni wanawake tu ndo wanajiuza, mi huwa nashindwa kuelewa kitu kimoja, kwani hii inakuaje na wakati wote tuna pata raha, yani iweje wote tupate raha alafu mwisho wa siku mm ndo...
Wanajamvi,
Kuna habari zimekuwepo kuhusu nchi za EU kuanza kutoa misaada mara baada ya nchi hizo kusimamisha misaada hiyo kwasababu ya ukosekanaji wa demokrasia nchini. Lakini kuna makala moja nimekutana nayo ambapo inaonyesha Mh. Rais ameshaanza kubadili msimamo kuhusiana na mkataba huo wa...
January 20, 2020
Birmingham England
NEW SIGNING MBWANA SAMATTA
Exclusive haya ni mahojiano ya Mbwana Samatta akiongea na chaneli rasmi ya klabu ya Aston Vill FC baada ya kukamilisha mkataba kuchezea klabu hiyo.
Source: Aston Villa FC
Habari kamili :
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania...
Katika nchi yetu na pengine duniani kote,hesabu ndio somo linalotajwa kuwa gumu(wengi wanashindwa kulielewa) kuliko masomo mengine mengi, ila binafsi naona kwa nchi yetu siasa za nchi hii ndio somo gumu zaidi kueleweka kwa watanzania walio wengi.
Inawezekana kabisa hata wale ambao ni...
Jana CEO wa ATCL amesema shirika lake liko katika mipango ya kufanya baadhi ya huduma lenyewe bila kutumia wakala, na kati ya huduma hizo ni ile ya chakula na vinywaji ndani ya ndege.
Matindi amesema huo ndiyo mfumo wa kisasa unaotumiwa na mashirika mengi ya ndege yenye mafanikio duniani...
Je Taa za Gari lako zina ukungu, Zimepauka?Kupelekea hupati Mwanga wa Kutosha wakati wa Usiku?Na Ushafikiria Kununua Taa Nyingine? Kama Ni NDIO Basi sasa huna Haja ya Kuwaza Kununua TAA NYINGINE
Nasafisha na kuzirudisha kwenye Hali yake ya upya lakini Ukipata muonekano amaizing na Kupata mwanga...
Rais Magufuli anaweza kuwa na ndoto nyingi sana juu ya Taifa hili lkn naamini ameshindwa kabla ya kuanza.
Tuanze na hiki ninachokisikia mara kwa mara kikitamkwa na rais na watendaji wake Tanzania ya viwanda. Je Tanzania ya viwanda yaweza kufikiwa? Jibu ni Hapana.
Sababu ni zifuatazo:
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.