inawezekana

  1. Mlenge

    Inawezekana kumuelimisha mtoto wa Kiafrika bila adhabu ya viboko?

    Inawezekana kumuelimisha mtoto wa Kiafrika bila adhabu ya viboko? Naomba kuelimishwa kwa nini unadhani ndio au siyo.
  2. mugah di matheo

    Kusomea coaching inawezekana?

    Hivi ni collage gani nzuri inaetoa online shortcourse za ukocha wa football kwa ulaya lakini ziwe certified? Na je gharama zake zipoje? Naomba mnisaidie aisee niwe kocha nichukue kibarua cha mtu hapa VPL.
  3. Economist Jay

    Inawezekana na tunaweza

    Unataka Tanzania yetu iwe na uzalishaji mkubwa wa ajira? Je, kuna watu wanakukatisha tamaa kisa hauna pesa? Usibabaike, njia pekee iliyowatoa wengi dunaini ni hii hapa; 1. Fanya utafiti mdogo kwenye jamii kugundua ni kipi kinapungua na watu wanakitaka. 2. Anzisha kitu chako kutokana na...
  4. E

    Inawezekana wengi hatukusoma vizuri na kuelewa masharti ya mkataba kati ya mwanafunzi na Bodi ya Mikopo(HESLB)

    Nimepitia masharti niliyosaini katika mkataba wa kuomba mpoto wa kufadhiri masomo yangu ya elimu ya juu,kati yangu na Bodi ya mikopo (HESLB) nimegundua sikuelewa na hata kama ningeelewa ningesaini tu, kwa sababu ya uhitaji niliokuwa nao. Lakini kuna masharti magumu sana hasa ukizingatia hatujui...
  5. Kabulala

    Ghiliba za wanasiasa: Je, inawezekana kuwaburuza mahakamani ili watolewe kwenye nafasi zao Kwa kulaghai ili wachaguliwe?!

    Nimekua nafatilia wanasiasa wengi wakati wanaomba Kura wanasema uongo mwingi Sana na Kwa bahati mbaya wanaaminiwa na kupewa Kura na kutumikia nafasi walizozipata Kwa kulaghai bila wasiwasi wowote na mwisho wa kipindi walichoomba wanazawadiwa kiinua mgongo kama ahsante. Kwangu Mimi naona hiyo si...
  6. K

    Uchaguzi 2020 Inawezekana kuwa asilimia 50 ya wabunge wa mkoa wa Mara watatoka upinzani

    Jinsi kampeni zinavyoendelea mpaka sasa ninaamini kuwa asilimia 50 ya Wabunge wote wanaotoka Mkoa wa Mara watatoka upinzani. Nianze na Tarime Mjini, Rorya, Bunda Mjini na Tarime vijijini hali siyo shwari kwa CCM. Tujiulize hapa ni nani wa kulaumiwa?. Mimi ninatoa lawama kwa uongozi wa Wilaya na...
  7. Course Coordinator

    Uchaguzi 2020 Nimeshangaa Magufuli kusema ameongeza mishahara kwa watumishi wa Serikali kimya kimya miaka yote mitano

    Akiwa mkoani Mara Mgombea wa CCM Dkt John Magufuli kwenye uzinduzi wa kampeni katika mkoa huo Mgombea amesema kuwa "naskia kuna mtu anasema sijaongeza mshahara watumishi wa umma ,Watumishi wa umma nimewaongezea mshahara kimya kimya " Aliendelea na kusema kuwa ukipandisha madaraja huongezi...
  8. Z

    Uchaguzi 2020 Inahitaji juhudi ili kurusu uchaguzi kuendelea

    Tangia tumeanza process ya kuingia kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, kumekuwepo maneno mengi yanayoashiria uvunjifu wa Amani, vitisho kutoka nje ya nchi hasa pale mgombea fulani anapomshutumu mwenzake kuwa serikali yako ndiyo ilinipiga risasi, serikali yako imeteka na kuua Watu nk. Tumeona barua...
  9. Sema Tanzania

    Je, inawezekana mwanao kuepuka vishawishi vya makundi-rika?

    Waingereza wanaita ‘peer-pressure’, yaani makundi-rika kwa lugha ya ‘madafu’. Watoto katika umri tofauti wa ukuaji wao wanakutana na vishawishi ama chanya au hasi kutoka kwa marafiki zao. Makala haya yanahoji iwapo wazazi/walezi tunaweza kupunguza uwezekano wa mtoto ‘kuharibikiwa’ kutokana na...
  10. Roving Journalist

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  11. J

    Kama David Silinde aliitumikia CCM kwa siri kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni inawezekana sasa anaitumikia CHADEMA akiwa CCM

    Maneno huumba. David Silinde kwa kutamka hadharani kwamba yeye ni "Chawa" kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni alikuwa akiitumikia CCM kwa siri amefungua mlango kwa maadui wa CCM kuweza kumtumia kwa sababu anaweza "kutumika" Binafsi sikutegemea kauli kama hii itoke kwa mwanasiasa kijana, hata hivyo...
  12. Chakorii

    Wanaume tuoneeni huruma tu, inawezekana kweli tunawakosea

    Habari za usiku. Kwa masikitiko makubwa na huzuni isiyoyakawaida imeutawala moyo wangu. Wanaume,inawezekana kweli tunawakwaza,iwe ni kwa kujua au kutokujua lakini haifanyi ukamwanika mke wako wa ndoa kwa mchepuko kwa kiwango cha lami kabisa Leo nikiwa niko saloon nasafisha kucha, akaja mdada...
  13. A

    Kwa alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz naye anafeki maisha?

    Vanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo Inawezekana zile V8 zilizopo kwenye parking ya Diamond Platnumz, sio zake, na ile nyumba yake ya ghorofa...
  14. Mmawia

    Malawi wameweza, Tanzania tunafuatia

    Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa. Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama...
  15. J

    Uchaguzi 2020 Je, inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni Kada wa CCM kumtangaza "Mshindi" mgombea wa CHADEMA?

    Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA? Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana? Maendeleo hayana vyama!
  16. M-mbabe

    Swali kwa Pascal Mayalla: Je inawezekana CCM kuogopa Tume Huru ya Uchaguzi inaogopa kupoteza kiti cha Urais na majority bungeni?

    Swali langu ni hili..... Kwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na...
  17. Mwanamayu

    Je, inawezekana kutundikiwa 'drip' kwa sababu ya kuvunjika mguu?

    Kuna ushahidi kuwa Mhe. yule alitundikiwa drip wakati akipata matibabu ya kuvunjika mguu kwa madai kuwa alivamiwa na watu watatu wasiojulikana, wakati wengine wakidai alianguka kwenye ngazi kutokana na kupiga urabu kupindukia. Swali langu kwa wataalamu wa afya, je, ni kwa nini mgonjwa wa...
  18. The Palm Tree

    Uchaguzi 2020 Je, ndani ya CCM kuna watu wamegeuka mashetani katika maumbo ya kibinadamu?

    Awali ya yote, mtakaokwazika mtanisamehe tu. Kwa sababu kichwa kikuu cha mada hii imebebwa na maneno magumu na makali kidogo. Imebidi iwe hivi kwa sababu nimetafuta maneno mbadala ili ujumbe ama maudhui ya ujumbe ninaotaka kila mtu apate, nikakosa. Pokeeni na twendeni hivyo hivyo kwa sababu ni...
  19. ommytk

    Nahisi mke wangu kadukua Simu yangu. Hivi inawezekana hiyo?

    Wadau habari za majukumu Kuna jambo linanitatiza sana katika kipindi hiki cha karibuni baina yangu na mke wangu. Yaani kuna msg zangu anazijuaa, sasa sijui anapata wapi, mfano jana kuna mdada kwenye group la shule kanitumia msg anaomba msaada nimemtumia. Narudi home umeme hakuna, nikanunua LUKU...
  20. Top gun maverick

    Inawezekana mtu aliesoma sayansi advanced kusomea Sheria chuoni

    Habari wanajukwaa pia hongereni na sikukuu ya Eid Mubarak pia tuendeleee kuchukua tahadhari Kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni pia usisahau kuvaa barakoa uendapo kwenye highly populated areas. Naenda straight to the point Mimi bado mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo Fulani hapa nchini...
Back
Top Bottom