inawezekana

  1. M

    Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

    Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa. Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri. Sasa najiuliza, kama...
  2. EvilSpirit

    Hivi inawezekana ukahama na mita yako ya umeme?

    Swali langu ni je inawezekana ukahama na mita yako ya umeme? Mfano ulipanga chumba cha biashara sehemu na hiyo sehemu hakukuwa na umeme ukafanya michakato TANESCO ukavuta umeme. Baada ya muda ukajenga chumba chako cha biashara na unataka kuhama hapo ulipopangisha. Je, inawezekana ukawaomba...
  3. Boban boy

    Tupeane maaarifa je inawezekana kutumia program za computer kwenye smartphones?

    Nmechek youtube nkaona kuna kitu kinaitwa exagear kwamba unaweza run program za computer kama virtual dj au fl studio ukaweza tumia kweny smartphone ila kwang inagoma je kun mjuzi humu anisaidie.
  4. May Day

    Hivi inawezekana Mtu ukapendwa au ukakubalika na watu wote?

    Baada ya huu msiba nimejikuta najiuliza maswali mengi na hili ni moja wapo na bado sipati jibu sahihi. Kwamba pale unapozungukwa na kundi la Watu na upo mbele yao ukilazimika kuwapendeza miongoni mwao na huku ukijua kabisa wapo utakawaudhi nini ufanye kwa mtihani kama huu?
  5. S

    Kama inawezekana double kick ipunguze asilimia ya kilevi chake

    Najua tumekuwa na siku ndefu ya huzuni katika shughuli ya kumpumzisha kipenzi chetu Hayati Dr JPM namshukuru Mungu tumemaliza shughuli salama jemedari apumzike kwa amani aluta continue. Bila kuwapotezea muda nimekuwa mitaani na kushuhudia Jinsi kinywaji hiki kinavyopendwa na kununuliwa na...
  6. Deejay nasmile

    Nokia lumia: inawezekana kutoa windows os na kuinstall android os?

    Msaada wakuu..nina kisimu cha zaman hapa nokia lumia 720 nataka nibadilishe os yake kutoka windows kwenda android, Je inawezekana?? Msaada wenu na ushauri ni muhimu wakuu.. Ninachochukia windows hawana apps nyingi nizipendazo
  7. GeoMex

    Aeleza walivyokubaliana na mume wake kutafuta watoto nje ya ndoa

    Dar es Salaam. Mkazi wa Tabata Liwiti, Magreth Silaeli (37) ameieleza Mahakama ya Mwanzo Buguruni kuwa walikubaliana na mume wake, Raymond Kulaya (44), waachane kwa muda ili kila mtu akatafute watoto “anapopajua” baada ya kuishi miaka mitano bila kupata mtoto. Magreth sasa anaiomba mahakama...
  8. MK254

    Inawezekana hili la mahindi lilikuwa namna ya kutafuta pakupotezea wadadisi wa mambo

    Kuna mshkaji mtaani tulikua tunajadili changamoto iliyopo kwenye zogo la mahindi baina ya Kenya na Tanzania, akanipa uwezekano wa wazo fulani, naifahamu sana Serikali yangu ya Kenya ikitaka kuficha kitu kwanza huwa na mazoea ya kuibua jambo lingine litakalosababisha migongano ya baina yetu...
  9. M

    Laini moja ya simu inawezekana kumilikiwa na zaidi ya mtu mmoja na kuwa hewani?

    Mara kadhaa kaka akinipigia ananiambia mbona namba yako kuna mtu huwa anapokea.Basi nikawa napuuzia kuwa labda huwa anakosea. Ni line ambayo ina zaidi ya miaka 8 na nimesajili kwa kutumia kitambulisho cha NIDA. Basi juzi juzi jamaa mwingine ananiambia mbona namba yako kuna mtu mwingine anapokea...
  10. J

    Nimemuelewa DC Sabaya, inawezekana kabisa Godbless Lema alisaidiwa na CCM Arusha kwenda uhamishoni!

    DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa: Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye. Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama...
  11. K

    Inawezekana Rais Mwinyi na Magufuli hawawasiliani katika uongozi?

    Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania). Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi...
  12. Naanto Mushi

    Inawezekana mfumuko wa bei Tanzania ni wa kutisha, idara ya Takwimu wametupiga chenga ya mwili kwa takwimu za Januari, ila nimewagundua

    Kuna mabadiliko makubwa sana ya kitakwimu nimeyagundua kwenye report ya mfumuko wa bei ya mwezi January, ambayo inasema kwamba mfumuko wa bei kwa miezi 12 iliyopita mpaka mwisho wa mwezi January 2021 ni asilimia 3.5 tu!. Niliangalia hii report ilivotoka wiki iliyopita, lakini sikuelewa...
  13. L

    Tanzania ya Viwanda Inawezekana. Tukaze Kamba

    Katika Kuunga mkono Kauli ya Raisi Wetu Mpendwa, Watanzania TukazeKamba Tuanzishe Viwanda vyetu. Kwa Juhudi ndogo niliyofanya nimeona kuwa kumbe TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.
  14. L

    Je, inawezekana kuwa spika Ndugai akawa ni Mtumishi Umma anayelipwa zaidi Tanzania?

    Katiba yetu inasema Spika sio lazima awe Mbunge hivyo basi kuna mshahara wa cheo cha Spika ambao kwa kawaida ni mkubwa kuliko mshahara wa ubunge. Kwa mahesabu haya: 1.Ubunge 11 millions 2. Spika 11 + X millions Jumla inaweza kucheza kwenye 28-30 millions. Ukizingatia kwa sasa CEO wengi wa...
  15. S

    Ni vipi au kwa njia gani - Inawezekana kupatikana KATIBA MPYA

    Tumechoka kusikia katiba iliyopo aifai hata vingunge wa CCM Polepole na Bashiru kwa nyakati tofauti walilitetea hili kama kuku aliebanwa na yai na anakaribia kutaga. Vyama pinzani navyo mida hii huwaga kimya mpaka kesho uchaguzi utavisikia vinakurupuka kama vinatoka kwenye usingizi mzito...
  16. M

    Muda niliopoteza kwa mtu asiye sahihi unanicost, Umri unaenda nataka mke. Je, inawezekana akapatikana mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, natamani kuwa na mwenza lakini kila nikiwaza jinsi ya kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu. Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  17. Sa 7 mchana

    Je, inawezekana kutoa ruhusa kisheria kwa kituo cha TV kuzalisha pamoja na kurusha kipindi chako kwa muda fulani huku nao wakikulipa kwa makubaliano?

    Habari zenu wakuu. Najua JF kunama-expert kutoka katika kona tofauti tofauti za utaalamu. Leo nimekukwenu hapa nataka kujua kuwa Kibongo bongo inawezekana ku-license TV station Idea ya kipindi. Yani kwamba ukawapatia ruhusa kisheria, Ukawapa ruhusa ya kuzalisha pamoja na kurusha kipindi Hicho...
  18. S

    Kuhama chuo na kubadilisha kozi

    Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
  19. S

    Inawezekana kuna Grand Corruption nyuma ya maamuzi haya ya wanasiasa wetu

    Wakati tukiwa tunashangazwa na kuumizwa na usaliti unaofanywa na baadhi ya wanasiasa wetu, binafsi naanza kupata mashaka kuwa huenda kuna rushwa kubwa inatumika kuwarubuni wanasiasa hawa mpaka kufikia hatua ya kusaliti wananchi wao na kusaliti msimamo yao. Inawezekana wanapokea mlungula mrefu...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, inawezekana ubongo kutolewa kichwani na kufungwa tumboni, kisha ukafanya kazi yake kwa ufanisi kama upo kichwani?

    Nasukumwa kuuliza swali hili baada ya kuona hii video ya huyu jamaa anayesema ubongo wake uko tumboni na unafanya kazi kama kawaida. Tumsikilize Kisha wataalam watupe elimu.
Back
Top Bottom