Wadau habari zenu,
Nimekua nikifatilia mijadala hasa inayohusisha waamuzi wa soka na maamuzi yao tata either kuwanyima au kuwapendelea baadhi ya vilabu vya mpira wa miguu hapa Tz nakupelekea mijadalla hii kifika mbali hadi serikali kutaka kuweka var ili kuepusha mapungufu hayo ya waamuzi...
Je, ni wakati gani nitahitaji kumuona Dokta kama nitaona maumivu makali yamepungua kutoka siku ya kwanza ya kupata ajali ya enka?.
Vipi kama nitaamua kufuata tu taratibu za kujiuguza nyumbani mpaka Mguu/enka itengemae?
Ni ipi hatari inayoweza kumpata Mtu asipoonwa na kushauriwa na Daktari juu...
Namba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake
Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais
Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake
Kipilimba na...
Kuna ukweli umejificha inawezekana kabisa Mheshimiwa Mbowe ni gaidi tusubiri serikali ithibitishe au kumkuta na hatia, sio kutuambia alitaka kulipuwa vituo vya mafuta na sehemu zingine, bado hilo halipo sawa, maana gaidi ni watu wanne tu?
Ninavyosikia gaidi au magaidi huwa ni netiwaki kubwa...
Wakuu habari
Ndugu yangu anasumbuliwa sana na kuumwa tumbo tangu alipopata ujauzito. Kwa Sasa ujauzito ni wa miezi tisa nadhani na siku kadhaa. Je anaweza kwenda hospitalini akapewa dawa au sindano apate uchungu wa kujifungua, ili ajifungue mtoto ili apumzike na maumivu
Naomba kuwasilisha
Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika tasnifu.Hata ya uzamili ni kazi sana.Swali kwa Vyuo Vikuu, je vigezo au viwango vimebadilika?
Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana.
Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo...
Wadau habari za majukumu
Napenda nianze kwa kumpongeza Rais wetu Samia kwa kuona changamoto ya upungufu wa madarasa nchini
Na ndiyo maana alipo pata pesa za IMF Kupambana na COVID-19 akazipeleka mashuleni kila wilaya kujenga madarasa mapya sasa maagizo ndo tatizo.
Madarasa hayo yameamuriwa...
Ni leo tena.
Mheshimiwa Rais amewatupia lawama Wasukuma kwa kuharibu vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa sababu ya ufugaji wao wa ng'ombe wengi.
Nia yangu bayana kwenye andiko langu ni kumshauri Rais ikiwezekana ajizuie kuwataja moja kwa moja Wasukuma kwenye hadhira kwa...
kama title inavyosomeka hapo juu kutokana na uchambuzi wangu wa kisoka inawezekana kocha wa timu ya madrid ya bongo (kolo fc) pablo franco ameletwa na brand kampuni kubwa ya GSM ili kuleta fair competition kwenye ligue yetu pendwa kutokana na ndugu zetu hawa kuanza kulia lia mapema kwamba hakuna...
Baada ya tafakuri ya muda mfupi, nimepata hisia kuwa hata kama wana uwezo mdogo, lakini sio wa kufanya makosa kama haya ya kiuandishi.
Hivyo, nahisi huenda baadhi yao hawafurahii haya mambo,.ila wanafanya kwa kulazimishwa tu na matokeo yake na wao wanamua kufanya kazi chini ya kiwango...
Kuna kauli moja alitoa pole pole kuhusu kuwa na parallel state, yaani nchi kuendeshwa na kikundi flani kimejificha nyuma huku serikali tunayoiona kubali kama pambo au MWANASESERE, hii inaweza kuwa kweli kwa upande mmoja kutokana na mifano hii.
1. Kesi ya Mbowe inaonekana kuna nguvu zaidi...
Kama Taifa kuna vitu tunadharau sana na mara nyingi vime Tu cost Sana na kwa sababu hatutaki kabisa kuvitazama na kuvifanyia kazi, pengine vitaendelea kutu cost sana.
Magonjwa ya akili ni jambo moja Taifa hili hatutaki kabisa kukaa chini na kuweka mipango ya kusaidia 'wagonjwa' wetu
Na kuzuia...
Watoto wanazaliwa na mikia.
Watoto wanazaliwa na manyoya.
Watoto wanazaliwa na jicho moja.
Watoto wanazaliwa na miguu minne na mikono mitatu.
😭😭
HAPA.
Naamini itakuwa ni huko tu,
sio huku kwetu.
Sisi tumeshachunguza ni salama🤔
Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini
Habari wanajamvi,
Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni.
UTANGULIZI
Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
Wakuu naomba kuelewa kwa yeyote anayejua au kushudia matibabu ya Tezi dume bila upasuaji na mgongwa kupona kabisa na hayo matibabu yanapatikana wapi?
Nitafurahi zaidi kupata taarifa za matibabu ya kisayansi kwa maana ya yanaweza kuwa wanatumia aidha dawa za asili...
Habari wadau,
Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji, Diamond n.k
Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.