Nachukua fulsa hii kumpongeza mama kwa kazi kubwa anazo zifanya kwa taifa hili tena ukizingatia amepokea kijiti kama mpira wa krosi ya kubabatizwa, lakini anajaribu kuutuliza mpira utulie hili aweze kuucheza.
Nikirudi katika mada
Hili lilionekana zaidi ile siku alipokuwa akihojiwa na Idhaa ya...
DED nakushauri usisubiri kubanwa na haja ndogo ndo uamke. Amka hata bila kubanwa na haja ndogo. Ili Wilaya yako iweze fanya vyema.
Huu ni ushauri tu. Unaweza chukua au kataa. Sitokulaumu.
Ninahitaji kujua iwapo ninaweza kuweka memory card kwenye card reader kisha nikaichomeka kwenye tv kama tunavyofanya na flash kwa ajili ya kuangalia movie.
Nimebaini flash nyingi ni za ovyo tunauziwa flash mbovu. Unanunua flash dukani unaweka movie unakuta ina scratch na kustak stak.
Ninaomba msaada kujua, kuna ndugu yangu yupo masomoni ughaibuni, yapata mwaka wa sita hajalipa land rent ya Serikali kwa viwanja vyake vitatu, angependa kulipa ila kwa awamu,
Je, serikali ina utaratibu huo?
Kama upo, procedures ni zipi?
Nawasilisha
Taarifa tulizozipata kutoka kwa Mdaku kutoka Ufipa ni kuwa shughuli zote za uratibu wa chama zimesimama kutokana na kesi inayo, kabili Mwenyekiti huyu wa maisha na mwenye hisia za umiliki wa chama kushitakiwa na Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kesi na makosa ya ugaidi hapa nchini.
Kesi...
Habari Mheshimiwa Rais,
Nikiri wazi Mimi sikua mshabiki wako, sababu pia sikua mshabiki wala mfuasi wa Chama ulichopo. Na hata ulipoanza kua Rais sikua na matumaini yoyote kwako, sababu kubwa hasa ni kua wewe ulikuwepo kwenye madaraka enzi zile za jamaa yule. Hivyo nilijua uongozi wako...
Unaweka pesa kwenye bahasha, kisha unatumia application ya Taxify / Uber na kuita chombo cha usafiri kilichokaribu, kisha unamkabidhi mzigo ila humwambii kuna nini ndani na kumpa maelekezo ya wapi apeleke.
Je, hii inawezakana?
Maswali mengi yameibuka juu ya madai ya serikali ya Haiti kuhusu waliotekelezwa mauaji ya raisi Moise, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi katika hekalu lake liliko Port-au-Prince, Halhamis iliyopita.
Jeshi la polisi na wanasiasa wa Haiti ambao wameingilia ombweila uongozi wa kiasiasa kutokana na...
Jicho la tatu linaniambia kuwa huenda Mama ana agenda ya Katiba Mpya ila anajua wenzake hawaitaki, hivyo kaamua kuwatumia CHADEMA kwa siri kubwa kuamsha madai ya Katiba Mpya.
CHADEMA wanaweza kuendelea na hii agenda bila vikwazo huku MATAGA wakiwa hawelewi halafu mwisho wa siku Mama anawaunga...
Picha hii inaonyesha ukomavu, mshikamano na umoja na amani katika nchi inayoitwa Tanzania, nchi Mungu ametutengea waja wake.
Hakuna mahali Rais Mwanamke, Muislamu, amezungukwa na maaskofu, kama Malaika wa amani, na hata hakuna kabisa wale jamaa zetu wenye mitutu mkubwa, hawapo.
Picha hii...
Tanzania kuna wabantu ambao ndiyo wengi.
Kuna wa Nilotics, wamasai na wajaluo.
Kuna wa San kama wabushmen, hawa wasandawe na wahadzabe. Hawa ndiyo wenye nchi yao.
Kuna wakush kama wa Iraq (wambulu) nasikia na wanyaturu na wasambaa nao ni wakush.
Nchi zingine kama Malawi, DRC, au Zambia ni...
Wadau nahisi huyu Waziri katupiwa hilo Jini angewahi au awahishwe kwa mafundi..
Jini Sakizi ukitupiwa linafanya maajabu ajabu tu yaani mtu akikuudhi unaweza hata muua hapo hapo
Watu waliwahi tupiwa mifano yake kama Ditopile alichukizwa tu na Dereva wa Daladala kusimamisha bus barabarani...
Je mliokisoma kitabu hicho mliona nini kwenye maandishi yake ? hebu tusimulieni na sisi wengine tuelewe .
====
Inaonekana Spika Ndugai alisoma kitabu cha Animal Farm! Bunge chini ya uongozi wake halikumpa Tundu Lissu nafasi ya kusikilizwa na kujitetea, lakini alihoji akiwa katika Bunge hilo...
Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano.
Nao Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo muda mwingi walikuwa wakimfurahia, wakimpigia Makofi, wengine hadi kupiga...
Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu kisa eti fulani alikuwa mgonjwa(mnaanzaje kwa mfano?)
Hivyo basi, kwa mtazamo wangu, inawezekana...
Nimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa Vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3.
Si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na...
TPIL(Tanzania pharmaceutical industries limited ) ni kiwanda cha dawa kilichopo jijini Arusha. Zamani kilikuwa cha serikali lakini kilibinafsihwa mwaka 1997.
Miaka kadhaa iliyopita kiliingia kwenye kadhfa kubwa ya kutengeneza ARV fake. Kuna ingredients hawakuweka wu walichanganya. Hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.