Inawezekana mwanaume akuumize binti mrembo kama wewe😏

Inawezekana mwanaume akuumize binti mrembo kama wewe😏

"Mke wangu namvumilia tu kwa ajili ya watoto, lakini I don't love her."

"Tukishapata mtoto ndio nitaenda kwenu kujitambulisha, trust me."

"Sihitaji kukuchunguza wala kujua ulipotoka, naangalia future yetu."

"Pesa sio kila kitu kwenye mahusiano, true love ndio msingi."

HIZI KAULI ZIMEWALIZA WENGI SANA.
 
Age is just a number.
 
Akikupa ukaloweka japo kwa bao moja kama inatosha, akizingua temana nae. Karne ya 21 hii huwezi kumbembeleza mtu ambaye pengine ulimkuta hata ile bikra hana.
 
"Kila nikinywa uji nakuona kwenye kikombe", kijana mmoja wa form six alisikika akimnenea classmate wake wa kike.

Ndege mdinya nishangaa sana kusikia kauli ambayo tulitumia tangu mwaka wa 47 inaendelea kutumiwa hadi leo.
 
Back
Top Bottom