Kisheria inawezekana kukataa kurithishwa mali za wazazi?

Kisheria inawezekana kukataa kurithishwa mali za wazazi?

Whitney Houston

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
242
Reaction score
452
Wana jamvi kwema?
Kama inawezekana kukataa kuandikwa kama mrithi wa baadae wa wazazi naombeni utaratibu wa kisheria ili kukamilisha jambo hilo.

Mmiliki bado yupo hai ...lakini nahitaji kujitoa ktk makaratasi ambayo namimi nimeandikwa kama mrithi wa baadae wa wazazi..
Sitaki chochote
 
Kwanza ni lazima uelewe maana ya urithi. Ni kitu chochote anachokiacha maiti kwa walio hai.sasa labda useme unajitoa hutaki ufugu wa damu unaukata.nenda kabadilishe jina
Kalikane jina lako ukishalikana utatengeneza cheti kipya. Urithi hakuna anayetuma sms kwa mungu kwamba nataka fulan afe nichkue vitu. Kila mtu ni mrithi au mrithiwa.as long utakufa. Na ni kitu chochote kilichokuwa under possession ya marehem bas hicho kinaenda kwa warithi.hata kama aliacha surual 2 na mashati 3. Kitendo cha kuyatawanya yake mashat na surual na zile ndala pas na haki ujue umekula mali ya dhuluma. Sheria zinazosimamia mambo hayo Tz ni tatu. Islamic,indian succession law ambayo tuliletewa na wakoloni ya 1850 na za kimila. Hamna mahali utasema ukajitoe labda kama huyo usiyetaka umrithi ujitenge akifa usijitokeze popote a nebda Kwa mwanasheria kabadili jina ili hata kama wakikulazimisha unasema sio wewe
 
Utahitaji kuandika waraka wa kukataa urithi kisha uusaini mbele ya mashahidi.

Huu si ushauri wa kisheria ni sehemu ya kuanzia kutoka search mtandaoni.

Tafuta ushauri wa mwanasheria anayefahamu vizuri mambo haya Tanzania.

"In Tanzania, refusing or disclaiming an inheritance involves executing a formal written renunciation. A beneficiary cannot be forced to take property, but they must officially reject it through a signed disclaimer or deed of renunciation submitted to the estate's executor, administrator, or the probate court to avoid legal and tax ownership of the assets.

Legal Framework in Tanzania

Plural Legal System:

Estate administration in Tanzania falls under statutory, customary, or Islamic law depending on the deceased's background and whether they left a will.

No Forced Acceptance:

Regardless of the governing system, a person named as an heir or beneficiary has the absolute autonomy to decline the share allocated to them.

Steps to Refuse an InheritanceDraft a Disclaimer:

Write a clear, explicit statement of renunciation or rejection of the specific inheritance or estate share.

Sign and Witness:

Sign the document formally, ideally in the presence of a legal advocate or commissioner for oaths to ensure authenticity.

Notify the Administrator / Executor:

Deliver the written refusal directly to the court-appointed administrator or the executor of the parent's estate.

File with the Probate Court:

If the estate administration is active under a probate court or the Administrator General's Office, file the disclaimer within the court record so the distribution list updates legally.

Key Effects of RefusalComplete Forfeiture:

Once you disclaim the inheritance, you lose all rights to those specific assets permanently.

Redirection of Assets:

The refused portion will pass as if the disclaiming party predeceased the parent, typically flowing down to their descendants (if applicable under the will or rules of intestacy) or back into the general estate pool for other lawful beneficiaries."
 
Wana jamvi kwema?
Kama inawezekana kukataa kuandikwa kama mrithi wa baadae wa wazazi naombeni utaratibu wa kisheria ili kukamilisha jambo hilo.

Mmiliki bado yupo hai ...lakini nahitaji kujitoa ktk makaratasi ambayo namimi nimeandikwa kama mrithi wa baadae wa wazazi..
Sitaki chochote
Waambie wazazi wakutoe,acha drama
 
Waambie wazazi wakutoe,acha drama
Wewe binafsi unaweza mtoa mwanao wa kumzaa kwenye makaratasi uliyo muandika endapo utaondoka duniani basii yeye awe mmiliki.unaweza kumtoa endapo atakuomba kwa maneno tuu,,,,utamfuta??na ni mwanao...so kwamba atahitaji akuforce kisheria??
 
Wakati wa kupimiwa kiwanja hua kuna ile form ina sehemu ya kujaza watu unataka wawe wamiliki endapo wewe utaondoka duniani...haya makaratasi ndio nayazungumzia...jina langu sitaki liwepo hapo

Back
Top Bottom