Sehemu gani nzuri kujenga moshi mjini yenye jamii mchanganyiko kipato cha kati

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Sina mpango wa kujenga katika maeneo ya kifahari yanayoishi watu wenye kipato cha juu sana. Ningependelea kujenga maeneo ya watu wa kipato cha kati, yenye makazi ya kawaida na nyumba za milioni 40 hadi 100.

Pia, ningependa eneo hilo liwe na jamii mchanganyiko, linalokaliwa na watu wa makundi mbalimbali ya kijamii, huku likiwa na mazingira mazuri ya makazi
 
Nenda Bomang'ombe panakufaa, ila jua linalowaka pale na ukame siyo wa nchii hii.

NB: Eneo lenye mazingira na makazi mazuri kwa Moshi bei ya viwanja haishikiki na watu wengi hawauzi ardhi, Jipange
 
Tafuta eneo Korogwe jenga, unakuwa upo katikati yaani ukitaka kwenda Dar, Tanga au Moshi chap tu.
 
Back
Top Bottom