Kuchoma si kujenga, kuharibu si kushinda

Kuchoma si kujenga, kuharibu si kushinda

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
TUSIRUHUSU TOFAUTI ZETU ZITEKETEZE KILE TUNACHOPASWA KUKILINDA KWA PAMOJA.

Oktoba 29 iwe kumbukumbu inayotufundisha, si alama ya uharibifu tunayojivunia, Tanzania ni yetu sote, tusiiache hasira ya siku moja iharibu matumaini ya miaka mingi.

#Tumechaguaamani
#Haturudiitena
#Tanzanianiyetusote
#Tanzaniakwanza
 
Rais iliapishiwa kwenye kambi ya jeshi sababu ya hii siku
 
Umechagua Tanzania kwanza, ni kabla ya Mo29 au baada ya kuapishwa sa100>? Ushauri wa Polepole kwa nn umetupwa na yeye kumpoteza>? Huu ni uzandiki
 
Back
Top Bottom