Kwa asiyejua soka ataona Chelsea ilikuwa Bora lakini kwa waelewa Jana man united ilikuwa na unafuu mkubwa. Nusu saa ukicheza na wachezaji Kumi na kama wewe ni bora unashindeaje kuongezza ushindi?
Man united inatatizo kwenye beki line. Si kushoto Wala kulia kote hakuna mabeki wazuri hata ilivyo...
Katika mitandao kuna huu ujumbe unasambaa na Jeshi linasema si taarifa sahihi.
Sio kila fake news ni ya kupinga, zingine ziko kimkakati sana, JWTZ kukana hii taarifa kwa kutokukaa kimya ni kuruhusu rasmi vijana wajilinde wenyewe hata kwa kutafuta Silaha.
Hii habari jeshi limekanusha kwa nguvu...
TUSIRUHUSU TOFAUTI ZETU ZITEKETEZE KILE TUNACHOPASWA KUKILINDA KWA PAMOJA.
Oktoba 29 iwe kumbukumbu inayotufundisha, si alama ya uharibifu tunayojivunia, Tanzania ni yetu sote, tusiiache hasira ya siku moja iharibu matumaini ya miaka mingi.
#Tumechaguaamani
#Haturudiitena
#Tanzanianiyetusote...
Huko Kibera, ambako ni maarufu sana kwa jina la mtaa wa mabanda jijini Nairobi, kukatika umeme ni jambo la kawaida. Miriam Achieng Kenyatta, mwenye umri wa miaka 23, huwa anasoma akitumia taa ndogo na mishumaa. Kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kulipia madarasa ya Kichina, alibadilisha nyumba yake...
Hakika historia imeandikwa nchini Thailand! Tanzania haikutwaa tu taji kuu la urembo la dunia kupitia kwa Jihan Dimack bali imeweka rekodi nyingine kubwa upande wa usimamizi na uongozi wa tasnia hii hapa nchini na barani Afrika kwa ujumla.
Mkurugenzi wa Miss Grand Tanzania, Nazimizye Adam...
Kocha mkuu wa Harambee Stars, Benni McCarthy, anaamini kuwa Kenya bado ina safari ndefu kabla ya kuweza kushindana kwa uhalisia na vigogo wa soka barani Afrika kuwania ubingwa wa AFCON.
McCarthy amesema kuwa kwa sasa Kenya haina rasilimali za kutosha wala kikosi chenye wachezaji wengi wenye...
Kama sheria zetu zingefanya kazi kesi ingetupiliwa mbali pale tu mahakama ilivyokataa ushahidi wa ile video
Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa...
Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
Habari ndugu zangu wanajamii forum,
Nimekuja huku kuomba kujengewa uwezo na wataalam wetu mliopo katika jukwaa hili la Sheria.
Mwaka juzi nilikuja na post yangu kuomba msaada baada ya kufukuzwa kazi serikalini Kwa zengwe la kutengenezwa.
Ninashukuru Kwa yote, mambo yalienda sawa nikaja...
Wana jamvi hamjamboni?
Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa
Swali langu ni...
Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei,
Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na maandalizi ya shughuli za mazishi.
kuna possibility kubwa hata huyu walishapita nae
Jamani nawapenda sana.. Nimeamua kuwapa mbinu ya kishinda cheo chochote Tanzania..
Fuata hatua hizi... Msiache kunitumia alkasusu☕ ☕
KAMA UNATAKA KUWA MWANASIASA WA CCM, FUATA HIZI HATUA
Hatua ya kwanza:
Jibadilishe na ujionyeshe kama mtumishi wa wananchi.
Vaa nguo za kawaida, nenda sokoni...
Natumai sote tumeshapitia zile ndoto zinazohusisha mapambano kama kupigana, kufukuzwa na mnyama, kujamiiana, kubishana nk.
Sasa kunakipindi mimi nilikuwa nashindwa kirahisi nikiwa napambana nikiwa ndotoni. Jambo hili huwa linaniumiza sana maana huwa sipendi kushinda, haijalishi ni wapi...
KanKanuni ya Kwanza
Kutojihurumia
Bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa.
— 1 Wakorintho 9:27
Watu wengi ambao wamekuwa na tabia za kujirudiarudia au uraibu wa kitu fulani, wamekuwa na tabia ya kujionea huruma.
Kuna mtu...
Mfano hapa Tanzania,
kuna vyama vya siasa kwa muda mrefu sana, ukiachilia mbali kutumia matusi, vilikua vikijidanganya na kujifariji na picha au video za kutengeneza mitandaoni kuonyesha kwamba eti vina wanachama wengi au wafuasi wengi zaidi na badala yake wakati wa uchaguzi wakaambulia patupu...
Yanga Ameshinda mechi zake nyingi kila alikutana na simba.
Fikiria interms of probability, una coin yenye pande 2, kichwa na mwenge..
umerusha mara ya kwanza ikatua kichwa, mara ya pili kichwa hadi mara ya sita zote mfululizo kichwa. hapa unajua kabisa chance ya kupata upande wa mwenge ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.