Wajumbe zaidi ya 1000 wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa, watakutana kupiga kura na kumchagua mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa chama hicho Taifa, tarehe muafaka itakayotangazwa na kamati kuu.
Kwa hali ya kisiasa ilivyo ndani ya chadema iliyogawanyika, ushawishi wa Freeman Aikaeli Mbowe...
Naendelea vyema na tabiri zangu na kuna watua mbao wananipigia kunishukuru kutokana na kufanikiwa katika kile ninachowapatia . nina ilimu ya Nyota hii nilijifunza kitambo kidogo. mara nyingi huitumia katika mambo yangu mbalimbali.
kinyota leo ni siku mbaya sana kwa Simba. na sioni kama kuna...
Harakati ndani ya Chadema zinachangamka siku hadi siku..
CCM wamepuuza siasa za majadiliano na maridhiano ndani ya CDM na nje ya CDM..
Sio ACT wala vyama vidogo kwamba vinapatiwa ahueni...
Upande wa Chadema shida inaonekana Freeman Mbowe amekuwa mpole sana kwa dola hadi kufika kipindi...
1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025.
Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji mkono wa ccm.
2. Maandalizi ya mapema. ccm ilifanya tathmini ya viongozi waliopo na kuandaa wagombea...
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha...
Ukisikiliza nyimbo za kihaya na Design yake ya uchezaji, vikitumika vizuri tunapeleka Bongofleva kwenye Grammy.
Grammy wanapenda vitu asilia, na sio vya ku-copy. Ukisikiliza hii nyimbo ya Mwanamama "Sauda Haulat - Dereva Babili" ni nyimbo iliyotoka miaka ya 2000 mwanzoni lakini ingefanyiwa...
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame akiwa katika ziara ya kuwanadi wagombea wa Vijiji na Vitongoji wa chama hicho katika mikutano ya Kampeni, ameeleza namna Chama cha Mapinduzi kilivyoshindwa kutekeleza Ilani yake jimboni...
Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana
Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji
Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake...
Machawa humu ndani wanasifia kila kukicha kwamba ccm ni chama imara sana, ni kwa nini wanatumia mipango myeusi myeusi kushinda chaguzi!?
Maana walisema yaliyotokea 2019 hayatatokea tena.
Hawa wanaokiri kwamba 2019 hali haikuwa sawa ndio haohao walikuwa wanasifia sana wakati huo ila leo...
Habari, naomba kujua cha kufanya
Baada ya kushinda rufaa tume ya utumishi na kuamuru kurudishwa kazini.
natakiwa kwenda ku report kazini au mpaka mwajiri anipe barua ya kurudi kazini.]
Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump
Team Obama ndio walimlazimisha Biden ajiondoe na pia team Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao mwanaume, Biden baada ya kujitangaza kujiengua fasta akafanya endorsement kwa Harris ili awavuruge team...
Hersi alimleta Haji Manara ndani ya Yanga kwa ahadi ya kumheshimu na abadani hatomkosea adabu.
Ajabu, Hersi ghafla akanogewa na vitoto vilivyoletwa mjini na Manara na mbaya zaidi akaviruhusu vimtweze.
Hakika Hersi atambue hawezi tena kupata maendeleo kwa namna alivyomtenda Haji!
Haji ni mtu...
Visingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa
Lawama za GSM anadhamini timu nyingi, Yanga ananunua mechi, Kujidunga shindano, Kuhonga marefa
Sasa mmeona wenyewe Yanga tunafungwa mara mbili mfululizo. Tumepewa kasi zimetugharimu Majeraha n.k
Haya yote yametokea...
Kwa wanaokumbuka namna Trump alivyomwambia Netanyau apige Iran's nuke sites, wanajiuliza. Sasa Trump kapenya.
Nini kitafuata kama alikuwa hatishi? Je akili za Trump sawa na waliomchagua zinamtosha kuona madhara ya vita na wairani? Je Ukraine waliozoea kubebwa sasa wanajiandaa kukubaliana mbabe...
Habari wakuu.
Kuelekea uchaguzi wa Marekani kuna kitu nimejaribu kuwaza,
Sote tunazijua sera za Trump sio mtu wa kupenda mavurugu vurugu ndito maana hata uchaguzi uliopita alishinda ile deep state ilimkataa baada ya kuona sera zake sio rafiki kwa biashara kubwa za nchi ile ikiwemo millitary...
Wakuu,
Mwana kang’oa pisi kali
Jamaa mmoja kutoka Uganda ana-trend baada ya kushinda milioni 36 kwenye betting. Baada ya ushindi huo, mhudumu wa mapokezi katika kituo cha betting aliamua kuacha kazi yake mara moja na kuwa mpenzi wake, kisha wakaondoka pamoja.
Pia, Soma: Mchungaji afunga...
Yanga wana tabia ya kuwasifia wacheza sindimba wao, lakini mchezaji wa maana anayeifanya Yanga iwe inashinda kwa sasa ni Maxi Nzengeli.
Hao wacheza sindimba kina Chama, Ki na Pacome wanakuzwa tu na walanguzi wa habari za michezo bongo.
Maxi Nzengeli asipocheza, Yanga huwa inapwaya Sana.
Nilipita mahali leo ( uswahili kidogo) nikaona maandazi aina ya half cake Dukani kwa mangi nikayatamani. kwakua sijayala muda mrefu nikasogea kwenda kuuliza bei nikaambiwa 200 moja, muuzaji akaniambia naomba hela yako iwe ya chenji sina chenji zinasumbua. nikamwambia nina elf 1 akasema unataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.