Kesi ya kupinga Kuondolewa Madarakani kwa aliyekua Naibu Rais Gachagua inaelekea pazuri na punde mahakama inamrejesha kwenye mamlaka yake ya awali. Asante Katiba.
Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Akidai kuwa kama CHADEMA wapo tayari kupambana na...
Ni muda mrefu sasa tangu chama hiki cha kisiasa kimekua ni taasisi iliyokosa uelekeo na kupoteza malengo na misingi ya kuanzishwa kwake, na kuamua sasa kutegemea sana propaganda za hisia kali zenye kutia huruma kwa wananchi ili kuleta taharuki, kuwavutia na kuwahadaa wananchi kanakwamba chadema...
Letsile Tebogo (21) kutoka Botswana amekuwa Mwafrika wa kwanza kushinda medali ya dhahabu mbio za mita 200 kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki Agosti 8, 2024.
Amefanikiwa kuvunja rekodi ya Kenny Bednarek na Noah Tyles na kutajwa kama “Mwanaume mwenye kasi zaidi duniani”
Alifanikiwa kushinda...
Mashindano ya Riadha za Mita 100 kwa upande wa Wanaume katika Michezo ya Olimpiki yameibua mjadala baada ya Noah Lyles kutangazwa Mshindi licha ya Wakimbiaji wengine kuonekana wamevuka Mstari
Wachunguzi wa Kisayansi katika Michezo wamedai mguu wa Thompsor ulikuwa umevuka mstari kabla ya Noah...
Muandaaji wa filamu nchini Somalia, Ahmed Farah amewamwaga waongozaji wa Tanzania baada ya kushinda Tuzo za Kimataifa za Filamu ‘ZIFF’ 2024 zilizotolewa leo Ngome Kongwe Zanzibar.
Ahmed kupitia filamu yake ya Arday ameshinda Tuzo ya ZIFF 2024 katika kipengele cha tamthilia bora ya Afrika...
Nimerudia kuitazama mara tatu ile mechi kati ya Kaizer Chiefs vs Yanga mashindano ya TOYOTA Cup nimebaini kuwa Kaizer Chiefs haikuwa timu mbovu hata kidogo, ni makosa madogomadogo ya kukosa pumzi na muunganiko kuliko Yanga kulikosababisha Kaizer kuchapwa 4-0. Nabi hana kazi ngumu sana kuifanya...
Badala ya kuona kuwa Nape amekosea kusema aliyosema, tumwone Nape kama mtu aliyesema ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Ni kweli kwamba matokeo ya kura hutegemea nani anahesabu kura na mara nyingi sana matokeo hupangwa kabla hata ya kura kupigwa. Tatizo sio Nape bali ni mfumo CCM.
Mnakumbuka...
Salaam, Shalom!!
Lissu, Lema,Heche, Mpina,Mbowe, Mnyika, Ole Sendeka, Mwabukusi, Dr Slaa, ni baadhi ya watu ambao wanaweza kugombea na wasipige compaign na wakashinda Nchi hii Jimbo lolote.
Ndugu Mpina haihitaji hata kujitambulisha Kwa wananchi, na anaweza kugombea Jimbo lolote, Kwa chama...
Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale.
Baadae...
November Biden na Trump wanaingia tena kwenye Uchaguzi wa Uraisi kama Wagombea kwenye vyama vyao.
Uchaguzi wa 2020, Biden alimshinda Trump kwa kura nyingi tu. Trump alikuwa raisi wa muhula mmoja
Safari hii wanakutana tena na Biden bado anaonekana kumshinda Trump. Takwimu zinaonesha hivyo...
Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu.
Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
Vita vilipoanza baada ya shambulio la oktoba 7 na kwa kujua ukubwa wa jeshi la Israel haikutarajiwa kufikisha hata wiki moja kabla Israel kukamilisha malengo yake ambayo na kuwafuta Hamas na kuwapata mateka wote waliokuwa wameshikiliwa na Hamas.
Watu wa Gaza zaidi ya 35,000 mpaka sasa...
Siku hizi wanawake wanavyoonekana makazini sivyo walivyo majumbani kwao. Ukimshitukiza mwanamke nyumbani kwake anaweza kagoma kutoka nje kwa kuwa anakuwa kwenye muonekano halisi ambao haujauzoeleka
Kila kitu ni bandia siku hizi:-kope, kucha, shape, rangi, makalio, matiti na sura.
Kabla hujaoa...
Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo
Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100
Majimbo ya uchaguzi yataamuliwa kwa wingi wa watu na kila baada ya miaka 10 yatachorwa upya sehemu yenye watu wengi...
Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali.
===
Pazia la uchukuaji na urejeshaji fomu za kusaka uongozi katika kanda nne za kiuongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), linafunguliwa rasmi leo Ijumaa Aprili 12 hadi 22, saa 10 alasiri.
Nafasi zinazowaniwa ni mwenyekiti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.