proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
Hali ya kimaisha yaani changamoto hasa kiuchumi huweza kukukomaza ukaonekana mzee kuliko watu umri au rika lako. Si ajabu wakawa wanakushangaa.
Ugonjwa pia huweza kukufanya hivyo.
Si haba hata mabadiliko ya homoni na urithi huweza kukuzeesha.
Ulaji mbovu pia usiusahau yaani iwe una hela au hauna.
Mazingira ya kazi...kufanya kazi bila mda wa kupumzika vizuri
Hali ya hewa. Joto, baridi sana pia kemikali huweza kuchangia.
Uweshahi kupauka na kuoneka mzee kuliko watu wa rika lako