GE2025 Ikiwa CCM wana uhakika wa kushinda, Uchaguzi ni wa nini tena?

GE2025 Ikiwa CCM wana uhakika wa kushinda, Uchaguzi ni wa nini tena?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
Kama CCM tayari;

1. Tuna tume Huru (Mwenyekiti, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Makamishna wote wameteuliwa na mgombea mojawapo),

2. Polisi wapo wanatubeba kila hatua,

2. Pesa (Tsh Bilioni 86 imetulia kwenye akaunti Kuu ya Chama) kwa nini tukafanye tena uchaguzi? Tupoteze tena mabilioni?
 
Japo Mimi Mwana CCM Tawi la Kata 14 Temeke ila naogopa sana mambo haya!
 
Kama CCM tayari;

1. Tuna tume Huru (Mwenyekiti, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Makamishna wote wameteuliwa na mgombea mojawapo),

2. Polisi wapo wanatubeba kila hatua,

2. Pesa (Tsh Bilioni 86 imetulia kwenye akaunti Kuu ya Chama) kwa nini tukafanye tena uchaguzi? Tupoteze tena mabilioni?
akili za kipumbavu mno hizi, watu kama nyie mnakutaga huko kwenu wako na njaa kuliko kitu chochote kile
 
Mada kama hizi wachangiaji wachache lakini ingekuwa mada khs ushoga au msanii fulani kafumaniwa hadi sasa ingekuwa kurasa ya sita
Nchi hii itakuwa na laana

Kweli ule mwenge unawapumbaza watu
 
Back
Top Bottom