Wachambuzi hawa wanaipa Yanga ari ya kushinda makombe

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Mchango wa wachambuzi usibezwe katika kuisukuma Yanga kuendelea kufanya vizuri viwanjani.
Kuna wachambuzi ambao wanatafuta na kuyasema mapungufu tu ya Yanga kila siku na kila wakati wanapopata muda wa kuruka hewani na kuisemea vizuri Simba hata kama inafanya vibaya. Kwa mtu asiyefahamu tabia za watu anaweza kuwachukia sana wachambuzi wa aina hiyo, lakini kwa tabia za binadamu wachambuzi wa aina hii kuna wakati ndio bora kuliko wale wanaokusifia kwa kila jambo.

Ukweli ni kwamba mtu anaekukosoa sana kila siku ni sawa na mtu anaekupatia zawadi nzuri kila wakati, hasa kama anaekosolewa atayafanyia kazi hayo mapungufu yake au anaekosolewa atataka kumuonyesha mkosoaji kuwa sio kweli kile anachokisema juu yake. Kwa upande mwingine yule anaesifiwa kila siku kimakosa atabweteka na kupata matumaini yasiyokuwa ya kweli (false hopes).

Ni matumaini yangu wachambuzi kama akina naniliu wataendelea kuichamba Yanga msimu ujao pia ili kuwapatia nishati wachezaji na uongozi kuwa prove wrong wachambuzi hao. Waendelee kuwachamba hata kwenye maeneo mengine kama ujenzi wa uwanja, nk.

Namchukia mtu anaenisifu kwa kila jambo. Simba hata kama hawajui waendelee kuwaambia wanajua sana tena sana.
 
Kolobwenzi likabondwa 5 ,na moja kono la nyani
 
October tunaenda na Prof Samia kiongozi wa kasi na ubunifu. [emoji1621][emoji1621]

Miradi mizito, Mafanikio ni kila kona: diplomasia, uchumi, kilimo, afya, na uwekezaji
huku sauti ya Tanzania ikisikika dunia nzima.

Tuna kila sababu za kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan profesa wa siasa na uongozi

Oktoba ni mitano tena bila kupinga!

#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
 
Uko sahihi, huyu mama atatua Katiba matata sana kwa uzuri kabla ya 2030, mark my words. Hivyo basi, no election no reforms.
 
Mchango wa wachambuzi usibezwe katika kuisukuma Yanga kuendelea kufanya vizuri viwanjani.
Kuna wachambuzi ambao wanatafuta na kuyasema mapungufu tu ya Yanga kila siku na kila wakati wanapopata muda wa kuruka hewani na kuisemea vizuri Simba hata kama inafanya vibaya. Kwa mtu asiyefahamu tabia za watu anaweza kuwachukia sana wachambuzi wa aina hiyo, lakini kwa tabia za binadamu wachambuzi wa aina hii kuna wakati ndio bora kuliko wale wanaokusifia kwa kila jambo.

Ukweli ni kwamba mtu anaekukosoa sana kila siku ni sawa na mtu anaekupatia zawadi nzuri kila wakati, hasa kama anaekosolewa atayafanyia kazi hayo mapungufu yake au anaekosolewa atataka kumuonyesha mkosoaji kuwa sio kweli kile anachokisema juu yake. Kwa upande mwingine yule anaesifiwa kila siku kimakosa atabweteka na kupata matumaini yasiyokuwa ya kweli (false hopes).

Ni matumaini yangu wachambuzi kama akina naniliu wataendelea kuichamba Yanga msimu ujao pia ili kuwapatia nishati wachezaji na uongozi kuwa prove wrong wachambuzi hao. Waendelee kuwachamba hata kwenye maeneo mengine kama ujenzi wa uwanja, nk.

Namchukia mtu anaenisifu kwa kila jambo. Simba hata kama hawajui waendelee kuwaambia wanajua sana tena sana.
Kazumari.
 
Back
Top Bottom