BoT kushinda award ya Global inclusion ni sahihi au ni uchawa wa kimataifa?

BoT kushinda award ya Global inclusion ni sahihi au ni uchawa wa kimataifa?

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
457
Reaction score
773
Benki Kuu ya Tanzania imeshinda Global Award of Financial Inclusion. Ikumbukwe Tanzania sio nchi inayoongoza kwa unafuu wa Financial Inclusion tozo nyingi, na namna ambazo zinazidi kufanya watu wasipende kutumia namna za kidigitali za kutuma fedha.

Haya mambo haya yananistaajabishaga sana basi tu! Kutwa kucha utasikia mara tuzo hizi, mara wamepewa cheti kile lakini kiuhalisia hali ya uchumi kwa ujumla wa taifa unajulikana, na BOT as a chombo cha kuregulate hayo yote inaonekana kushindwa kabisa!

Kwa award ya namna hii ukiacha siasa inaweza kuwa Kuna sababu kadhaa wakadhaa ambazo zikasababisha wakapata tuzo hiyo kama walivoainisha hapo kuwa "Recognition of Specific Policy Success: The award is not for overall economic management but for financial inclusion. BoT was specifically praised for its "strategic and innovative policy initiatives,"

Kwa mantiki hiyo naweza ainisha sababu ambazo nadhani zikasababisha wapate tuzo kabla sijaendelea na kwa nini sikubaliani na awards ambazo naona ni uzandiki ikiwa uchumi wetu unaporomoka

Kwanza Tanzania National Financial Inclusion Framework (NFIF): A comprehensive, multi-stakeholder strategy that has set and achieved ambitious targets mbalimbali

Pili, Promotion of Digital Payments: BoT has actively supported the growth of mobile money (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money), which has been transformative. Tanzania has one of the highest mobile money adoption rates in Africa, hapa tumepiga gap kwa kweli ingawa wakenya walianza lakini so far tupo mbali zaidi yao

Tatu, Agent Banking and Tiered Licensing: Policies that have allowed banks to use agents to reach rural areas and created licenses for smaller, specialized institutions to serve low-income populations, asaivi hata ukiwa zako malangali huko unafanya miamala yako ya kibenki bila shida wala haja ya kusogea kwenye tawi husika

Sasa nakuja na maelezo why I don't see this award as appreciation rather than mocking us internationally hukooo.


Soma >>> BoT wins global award for financial inclusion innovation - Daily News
 
Back
Top Bottom