Kushinda mamlaka ya nchi hizi 6 ni kuishindia amani ya dunia kwa ongezeko hadi la asilimia 85.

Kushinda mamlaka ya nchi hizi 6 ni kuishindia amani ya dunia kwa ongezeko hadi la asilimia 85.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
1: Uturuki 🇹🇷
2: China 🇨🇳
3: Russia 🇷🇺
4: Iran 🇮🇷
5: Qatar 🇶🇦
6: Pakistan 🇵🇰

Hawa ndio baba wa syndicates za ugaidi, kupandikiza madikteta katika nchi masikini, uundaji wa vikundi vya kuharibu amani katika nchi, kuchonganisha jamii ili wajichukulie rasilimali na mambo mengine mengi ambayo hayaendani na utu.
 
NA MAREKANI? VENEZUELA ISHAKUWA KOLONI LAO KAMILI NA VISIMA VYOTE VYA MAFUTA VIPO CHINI TRUMP, WATAUZA WAO FAIDA WATAKULA NA KUNEEMEKA WENYEWE USA, MAKOMBO NDO WATARUDISHIWA VENEZUELA
 
Back
Top Bottom