Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Mfano mzuri hapo uganda pamoja na kwamba museveni amekaa madarakani muda mrefu lakini uchaguzi huu ana asilimia approximation 78% japo kuwa na yeye ni janjajanja atleast kidogo sasa huyu wetu daah 98% kweli? Hahahaha
Hizo takwimu lzm dunia ishituke haiwezekani na haitowezekana kamwe tume ya ccm imeunda takwimu ambazo hazipo, ni aibu kubwa unashinda kwa asilimia 98% afu watu waliokuchagua waandamane how?
Hizo takwimu lzm dunia ishituke haiwezekani na haitowezekana kamwe tume ya ccm imeunda takwimu ambazo hazipo, ni aibu kubwa unashinda kwa asilimia 98% afu watu waliokuchagua waandamane how?