Ado: Imenigharimu milioni 30 kushinda ubunge jimboni kwangu

Ado: Imenigharimu milioni 30 kushinda ubunge jimboni kwangu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amesema imemgharimu milioni 30 za Kitanzania kushinda ubunge katika jimbo hilo

Kwanza kabisa mazingira ya kisiasa yamebadilika sana ukifanya uchambuzi wa miaka 30 ya Demokrasia ya vyama vingi uwekezaji kwenye siasa umekuwa ukibadilika kutoka wakati mmoja hadi wakati mwingine.

Zama za kina Zitto Kabwe, John Mnyika David Silinde akiwa upinzani ukiwauliza walitumia shilingi ngapi wanaweza kukueleza walitoka chuo kikuu na wakasaidiwa na wananchi na wakashinda ubunge ambapo zama zile mimi niliziona zimeishia 2015

Na pia wimbo maarufu majimboni ni unatuache na hii aibagui wewe chama pinzani au tawala ukienda filed ukafanya kampenzi zako watu wanata uache chochote kitu kwahiyo inakuhitaji uwe na fedha. Na mimi ni kikadiria imenigharimu takribani milioni 30 kushinda jimbo

 
Back
Top Bottom