Nina uhakika 100% hata ikitokea Samia akalazimisha kuingia ikulu, hatokamilisha miaka mitano

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread.

TUTAKUWEPO
 
Sasa hivi tu anaogopa kutoka hapo magogoni....Aachie tu nchi ya watanzania na wapi atakuwa anaenda na watu wanamkubali??Atoke madarakani tu sasa hivi na asipoteze muda....Hao walinzi wake wote ni fake na hawamkubaki hata kidogo
 
Leo tarehe 6/10/2025, usiku wa jana nmeota uchaguzi umefanyika na chama kimeshinda japo idadi ya wapiga kura ilikuwa ndogo mnooo, alafu baadae nikashangaa uongozi umebadilika, siye yule aliyetangazwa. Sijajua maana yake.
 
Kimsingi hali ndivyo ilivyo hata mwenye akili ndogo anaona hali halisi. Wapi uliona mgombea anakataliwa hata nje ya boksi la kura? Sawa anaweza kushinda na kuapishwa kuwa rais ila upepo wa siasa unamvumia vibaya
 
Sasa hivi tu anaogopa kutoka hapo magogoni....Aachie tu nchi ya watanzania na wapi atakuwa anaenda na watu wanamkubali??Atoke madarakani tu sasa hivi na asipoteze muda....Hao walinzi wake wote ni fake na hawamkubaki hata kidogo
Haohao walinzi wake wanaweza kumgeuzia kibao siku moja. Na wao watachoka damu za Watanganyika wenzao kumwagwa kila siku.
 
Back
Top Bottom