Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 5,082
- 8,368
Umejiingiza kodolemkunduni na kujinusa au sio? Sucka4pain si ndio?K
Keep my name out of your mouth, sucka.
🖕
Umejiingiza kodolemkunduni na kujinusa au sio? Sucka4pain si ndio?K
Keep my name out of your mouth, sucka.
🖕
Ni jambo zuri piaNa binti yake mbunge wa Kizimkazi ndiyo kwanza ananunua mashine za kuchimbia makaburi. Perplexing As An?
View attachment 3484603
100%Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread.
TUTAKUWEPO
Usiku wa jana nimeota napigana na mwizi usiku mzima, mapigano makali mno lakini wakati wote nilikuwa nampiga pamoja na kuwa alikuwa na vifaa hatari; KUMBE NILIKUWA NAOTA MAPAMBANO ALIYOKUWA NAYO HUMPHREY POLEPOLE MASKINI😢😢Leo tarehe 6/10/2025, usiku wa jana nmeota uchaguzi umefanyika na chama kimeshinda japo idadi ya wapiga kura ilikuwa ndogo mnooo, alafu baadae nikashangaa uongozi umebadilika, siye yule aliyetangazwa. Sijajua maana yake.
Kesho yupo hapoView attachment 3484590
Waulize hao wanaoshabikia hizo kampeni zao uchwara wakina Mashamba sujui MwashambwaLeo alikuwa wapi boss??
Mungu ibariki TanganyikaKwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread.
TUTAKUWEPO
Hayo ni mawazo ya mazwazwaLisemwalo lipo punguzeni kidogo
Zwazwa upo unaishi nae huko Lindi nyumba moja unalala nae unaamka nae kila sikuHayo ni mawazo ya mazwazwa
Punguza makasirikoZwazwa upo unaishi nae huko Lindi nyumba moja unalala nae unaamka nae kila siku
Sniper ni watu kama wewe haya tangulia umalize ww kazi!Ratiba ya mikutano ipo, kwanini snipers wasiwahi huko wamalize kazi.
Hawa wavimba macho hawana msimamo. Bendera fuata upepo. Wamekuwa wapiga ramli.Mmeanza kubadili gia angani
Ulieamka nae kwenye kitamda ulichoamkia asubuhi ya leo ndio zwazwaPunguza makasiriko