Nina uhakika 100% hata ikitokea Samia akalazimisha kuingia ikulu, hatokamilisha miaka mitano

Nina uhakika 100% hata ikitokea Samia akalazimisha kuingia ikulu, hatokamilisha miaka mitano

Na binti yake mbunge wa Kizimkazi ndiyo kwanza ananunua mashine za kuchimbia makaburi. Perplexing eeeh?

View attachment 3484603
Kuna bahati ambazo hazitakiwi kwenda kwa watu wa ajabu ajabu ikiwa pamoja na hii bahati ya uongozi.

Hii familia imepata bahati ya kushika madaraka ya kiongozi ambayo ni makubwa sana kulinganisha na akili zao.

Imagine mama mtu(mgombea uraisi) eti awaahidi wanainchi kuwaletea taa za barabarani...... very petty issue

....Haya hapa mtoto mtu(mgombea ubunge) anawahidi wanainchi kuwaletea mashine ya kuchimba makaburi hili kuhamasisha vifo... yaan ni afadhari hata angewadanganya kuwa akishachaguliwa kila mtoto atakayezaliwa eneo hilo yeye atamnunulia set ya pampasi mpaka pale atakapoacha kujinyea... angalau kidogo angetoa ahadi kama hiyo ingeleta maana.

Ila kiukweli hii familia haina kabisa haiba ya uongozi, waliokota dodo chini ya mkaratusi.
 
Huyu kuna siku inakuja ATAKOSWA KOSWA SHABA, na huo ndio utakuwa mwisho wa uchaguzi huu wa KIHUNI.
 
Back
Top Bottom