Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,253
- 2,166
Kuwa na subira huyu bibi hana mwisho mzuri
Huyu bibi hana mda mrefu na watu walivyo na hasira na yeye asubirie tu muda wake unakuja na hasaa anategemea huo ulinzi wake....
Kuwa na subira huyu bibi hana mwisho mzuri
Hafiki huko mkuu. Tulizana kwanza.Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread.
TUTAKUWEPO
Atakuwa na mwisho mbaya sana huyu mwanamke hizi damu anazomwaga haziwezi kumuacha salama.Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread.
TUTAKUWEPO
Ameshajipitisha.Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread.
TUTAKUWEPO
Satoh Hirosh liked your post.Mkuu subiria tu wala hamna neno kabisaa.....Kwa sasa hata hao walinzi wake wote wanajuwa wanachofanya...Vipi kampeni imeendelea??
Nakuchora tu unaleta mambo za Nyani Ngabu baadae unajifanya narudi kwenye mstari nakuona tuHayo yote ayajuaye ni Mungu.
Lisemwalo lipo punguzeni kidogoUna uhakika gani? Wewe ni mungu?
Tupishage hukoo dua la kuku halimpati mwewe
Hahaha Nyani Ngabu njoo umchukue mwenzio hukuLeo tarehe 6/10/2025, usiku wa jana nmeota uchaguzi umefanyika na chama kimeshinda japo idadi ya wapiga kura ilikuwa ndogo mnooo, alafu baadae nikashangaa uongozi umebadilika, siye yule aliyetangazwa. Sijajua maana yake.
Muda ni Mwalimu katiri sanaHii huwa nawaeleza kila siku yani afanye yake lakini mitano hamalizi ni either atakufa au kupinduliwa
Kesho yupo hapoVipi kampeni imeendelea??