Hii ndiyo canser iliyokiangamiza lkn bado tiba ipoCCM haiwezi kushinda uchaguzi kwa wepesi, pasipo msaada wa vyombo vya dola, hususani polisi na pia tume ya uchaguzi inayo ongozwa na wateule wa mwenyekiti wa chama!
Na haitawahi kutokea kuwe na uwanja sawa kwenye uchaguzi maana CCM ni sawa na mtu aliyekuwa nyama ya mtu huwa hawachi.Sio kwamba CCM kimepoteza imani kwa wananchi kwa kiasi hiki la khasha
CCM kimebweteka baada ya kujitoa kwenye chama cha siasa na kuwa chama cha kidola
Tunaihitaji CCM inayopenda kushindana na ili ishinde au ishindwe
Hatuitaku CCM iliyojigeuza kuwa dola na kuviamrisha vyombo vyetu vya dola vile itakavyo la khasha huku ni kunajisi mifumo ya utawala bora
CCM ingieni kwenye mashindano mkiwa hamna mhakika wa kushinda au kushindwa
Ndiyo maana tunalilia kupatiwa katiba mpya ili huu ujinga ukomeshwe.CCM haiwezi kushinda uchaguzi kwa wepesi, pasipo msaada wa vyombo vya dola, hususani polisi na pia tume ya uchaguzi inayo ongozwa na wateule wa mwenyekiti wa chama!