ubaya uko wapi kwa TRA iliyojipanga kikamilifu kuchukua ubingwa wa NBC Premier league dhidi ya YANGA, Simba na Azam mbovu katika kila idara?🐒Arsenal ni sawa na JKT au TRA!
Matusi hayaruhusiwi hapa
Kwa hiyo hata kucheza fainali UEFA ni kwa sababu mpira wa Ulaya umeshuka viwango?Arsenal ni sawa na JKT au TRA!
Matusi hayaruhusiwi hapa
Japo sishabikii Arsenal lakini nikuulize swali la msingi.Arsenal ni sawa na JKT au TRA!
Matusi hayaruhusiwi hapa
Hakuna mtu mwenye akili atakutusi kwa hili. Unajua kabisa unachoandika ni uongo ndiyo maana unaaza kujihami.Arsenal ni sawa na JKT au TRA!
Matusi hayaruhusiwi hapa
Sahau mazima!Msimu Ujao Atachukua Manchester United
Hapa bado hamjasema, mpaka mseme yani. Hii milio ndio tunaitaka sema volume bado iko chini. By tarehe 31 May tutakuwa tumeipandisha to the max.Arsenal ni sawa na JKT au TRA!
Matusi hayaruhusiwi hapa