David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
Wewe ni mtoto wa 2005 huijui arsenal.Hivi inakuaje kuaje mpaka mtu anasupport Arsenal na Jersey ananunua, kweli Shetani yupo ndo maana watu wanajinyonga sababu ya Mapenzi.
Wewe ni mtoto wa 2005 huijui arsenal.Hivi inakuaje kuaje mpaka mtu anasupport Arsenal na Jersey ananunua, kweli Shetani yupo ndo maana watu wanajinyonga sababu ya Mapenzi.
Bro viva arsenal 🔥Arsenal kama Namungo tu.
Ahahah, kila zama na zama zake mkuu. Kimsingi mi sio mtoto wa 2000 ila ukweli ni kwamba Arsenal ishakufaga kitambo sana ni hamtaki tu kuizika. Arsenal ni Cadaver.Wewe ni mtoto wa 2005 huijui arsenal.
Gen z wa man u mnashida sanaAhahah, kila zama na zama zake mkuu. Kimsingi mi sio mtoto wa 2000 ila ukweli ni kwamba Arsenal ishakufaga kitambo sana ni hamtaki tu kuizika. Arsenal ni Cadaver.
Hata Man U sio timu, ni Jumba la Makumbusho.Gen z wa man u mnashida sana
Namungo anamakombe mangapi ya ligi?Arsenal kama Namungo tu.
Atakuwa shabiki wa Chelsea au Man City😅Wewe ni mtoto wa 2005 huijui arsenal.
Arsenal ni sawa na JKT au TRA!
Matusi hayaruhusiwi hapa
Uzi uishie hapa . Au basi mleta mada leta jibu 😎.Japo sishabikii Arsenal lakini nikuulize swali la msingi.
-Je Arsenal kufika fainali ya UEFA pia ni kwa sababu soka la Ulaya yote pia limeshuka kiwango(viwango)?
NB: Visca Barça.
Lakini Namungo Si Kama Arsenal.....!!!Arsenal kama Namungo tu.
Mpira wa Ulaya umeshuka viwango ndio ni sahihi kabisaKwa hiyo hata kucheza fainali UEFA ni kwa sababu mpira wa Ulaya umeshuka viwango?
Mawazo ya kipumbavu kama ya Chatanda
Umebaki wa wapi? Au unatuambia kwamba mpira wa dunia nzima umeshuka kiwango?Mpira wa Ulaya umeshuka viwango ndio ni sahihi kabisa
Reference kubwa Huwa tunaitumia Kwa kulitazama bara la Ulaya na team zao , na kuzitazama zile team ambazo ni giant Zina offer Nini katika mashindano makubwa like UEFAUmebaki wa wapi? Au unatuambia kwamba mpira wa dunia nzima umeshuka kiwango?
Kuna possibilities za scenarios mbili, tumu 'kubwa' kushuka viwango au timu 'ndogo' kupanda viwango. Mimi ni Barça fan since way back labda kabla wengi wenu hamjazaliwa lakini kuna wakati tumekuwa tukipigwa si kwa kuwa tumeshuka kiwango bali ni kwa kuwa timu pinzani zinakuwa zimepanda viwango.Reference kubwa Huwa tunaitumia Kwa kulitazama bara la Ulaya na team zao , na kuzitazama zile team ambazo ni giant Zina offer Nini katika mashindano makubwa like UEFA
Ukweli ni kwamba team nyingi kubwa misimu hii miwili mitatu hazipo katika ubora wao na hapo ndio zile team ambazo ni average huibuka na kuchukua nafasi like arsenal
Barca haipo katika ubora ule ambao sisi kama wadau wa michezo Tuna kutambua vyema Barca bado Ina struggleKuna possibilities za scenarios mbili, tumu 'kubwa' kushuka viwango au timu 'ndogo' kupanda viwango. Mimi ni Barça fan since way back labda kabla wengi wenu hamjazaliwa lakini kuna wakati tumekuwa tukipigwa si kwa kuwa tumeshuka kiwango bali ni kwa kuwa timu pinzani zinakuwa zimepanda viwango.