Mpaka sasa, Iran katupia missiles ngapi huko Marekani mpaka aelekee kushinda vita,?

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Wana jamvi hamjamboni?

Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa

Swali langu ni

Ni mabomu mangapi yameungurumishwa ndani ya majiji ya Marekani kiasi Cha wamarekani kuelemewa?

Ila ushabiki wa mambo ya vita, ni kitu mbaya sana aisee
 
Tatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.

Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.

Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
 
Ni bangi inayoitwa dini.
 
Iran hawajaambulia hata Kanali. US wameua kila level ya Jenerali.
 
Wana jamvi hamjamboni?

Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa

Swali langu ni

Ni mabomu mangapi yameungurumishwa ndani ya majiji ya Marekani kiasi Cha wamarekani kuelemewa?

Ila ushabiki wa mambo ya vita, ni kitu mbaya sana aisee
Marekani huwa anaepuka kupigana vita ma nchi ambazo zina silaha zinazoweza kufika sebuleni kwake.
Siku akipigana na nchi kama Turkey, Russia au China Raia wake wapenda vita wataigeuka serikali maana hawajawahi kupitia hali ambayo serikali yao huwapisha wengine. Septemba 11 mpaka leo inawapigisha kelele wakati wao wanashusha majengo ya nchi nyingine kila siku.
Kushinda vita ni mbinu... Ukinivamia ili udondoshe utawala ukashindwa basi nimeshinda hata kama sikufika kwako maana lengo lako halijatimia.
Marekani alianza kuwa anataka kubadilisha regime ya Iran, baadaye malengo yakaenda yanabadilika kadri muda unavyokwenda. Sasa si regime tena bali ni hormuz...
Ukitazama kwa ukaribu utagundua hakuna alicho archieve hadi sasa. Iran bado inaongozwa kwa sheria na utawala ule ule.
 
Punguza munkari Tulia ueleweshwe , vita sio mabomu wala vita sio kuua watu wasio na hatia. Vita ni malengo na ili ushinde vita maana yake ufikie malengo yako ulokusudia.

Sasa marekani hakuna hata jambo moja alofanikiwa zaidi ya kuua wale watoto wa shule walokua katika madarasa yao. Na zaidi Strait of Hormuz sasa hivi imefungwa na hii ilikua wazi kabla.
 
Tatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.

Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.

Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Shida mukishakua munasapoti waunga mkono wasagaji na wafiranaji hata akili hua zinahama kabisa
 
Marekani huwa anaepuka kupigana vita ma nchi ambazo zina silaha zinazoweza kufika sebuleni kwake.
Siku akipigana na nchi kama Turkey, Russia au China Raia wake wapenda vita wataigeuka serikali maana hawajawahi kupitia hali ambayo serikali yao huwapisha wengine. Septemba 11 mpaka leo inawapigisha kelele wakati wao wanashusha majengo ya nchi nyingine kila siku.
Kushinda vita ni mbinu... Ukinivamia ili udondoshe utawala ukashindwa basi nimeshinda hata kama sikufika kwako maana lengo lako halijatimia.
Marekani alianza kuwa anataka kubadilisha regime ya Iran, baadaye malengo yakaenda yanabadilika kadri muda unavyokwenda. Sasa si regime tena bali ni hormuz...
Ukitazama kwa ukaribu utagundua hakuna alicho archieve hadi sasa. Iran bado inaongozwa kwa sheria na utawala ule ule.
Ni sawa na kusema....!

Licha kuwa ulinpiga kila pahala na kunilemea ila hukukiponda ponda kichwa, ulipaswa unipige kichwa...!

Kama ndivyo, basi sawa

Hata hivyo vita bado vingali vikiendelea, labda kichwa kitapigwa..?
 
Tatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.

Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.

Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Kama ugaidi Kuna anayemfikia mu Israel au kwa upande huo macho Yako yanakua kisogoni
 
Ni sawa na kusema....!

Licha kuwa ulinpiga kila pahala na kunilemea ila hukukiponda ponda kichwa, ulipaswa unipige kichwa...!

Kama ndivyo, basi sawa

Hata hivyo vita bado vingali vikiendelea, labda kichwa kitapigwa..?
Ukiingia vitani unakuwa na lengo. Toka mwanzo Marekani alisema ni kuangusha utawala.... Mpaka sasa hilo halijatimia. Sasa amearchieve nini?
Wale wale mnaosifia Marekani, ndio hao hao mlikuwa mnamcheka mrusi kuwa ameshindwa kuiangusha ukraine wakati ukraine ilikuwa supported na mataifa makubwa. Lakini leo hamuicheki Marekani kushindwa kuiangusha Iran japo alisema within 3 weeks vita atakuwa kaimaliza.
 
Tatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.

Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.

Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Wavaa mashuka ndio kina nani?
 
Wana jamvi hamjamboni?

Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa

Swali langu ni

Ni mabomu mangapi yameungurumishwa ndani ya majiji ya Marekani kiasi Cha wamarekani kuelemewa?

Ila ushabiki wa mambo ya vita, ni kitu mbaya sana aisee
Kwani chief kabla hatjadili hii maada lengo lako ni kutaka kuelewa au unajibu lako unahitaji kubishan
 
Wavaa mashuka ndio kina nani?
images (5).jpeg
 
Back
Top Bottom