Mpaka sasa, Iran katupia missiles ngapi huko Marekani mpaka aelekee kushinda vita,?

Tatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.

Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.

Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Kwa iyo mkuu hata ile kule Iraq ilikuwa strategic sio???
Vipi lile bomu la Heroshima lililoiwa vizazi na vizazi kule Japan pia wako strategic sio??
Alafu vipi kule Afganistan walipokimbia na kuacha silaha kama matahira pia walikuwa strategic?
 
Tatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.

Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.

Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Ukiwa mgalatia alafu ukiwa kilaza unakuwa kama msukule

Yani hata wiki 3 hazijaisha Trump anajitamba kuwa jeshi lake limelipua Madaraja , reli , mitambo ya umeme na maji

Alafu wewe unasema eti USA hawajapiga miundombinu ya kiraia?
 
Wana jamvi hamjamboni?

Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa

Swali langu ni

Ni mabomu mangapi yameungurumishwa ndani ya majiji ya Marekani kiasi Cha wamarekani kuelemewa?

Ila ushabiki wa mambo ya vita, ni kitu mbaya sana aisee
Ushindi unategemeana na malengo, US na Israel zilipanga kung'oa utawala wa Ayatollah na pia kumaliza nuclear enrichment ila zote mbili zimefeli kwahiyo ni ushindi kwa Iran.

Ni sawa na jambazi akuvamie kukuibia ukiweza kumtandika aondoke UMESHINDA sio mpaka eti umfuate kwake umpige mke wake na watoto ndio ushindi.

Hata Ureno ilipigana na Msumbiji na Angola hadi ikaamua kuziachia uhuru na ukawa ushindi kwa FRELIMO na MPLA licha ya kwamba hawakuwahi rusha hata jiwe huko Lisbon, Portugal.
 
Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.
Acha utoto, marekani amelipua madaraja, miundombinu ya maji masafi, na kalipua vyuo vikuu, hospitali ya kansa kwa vitoto vichanga na ameua watoto zaidi ya 200 kwenye shule ya msingi alafu unaandika uongo gani hapa?
Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Kipi hajafanya? Marekani ameshaua zaidi ya raia elfu 5 (sio wanajeshi) baada ya kulipua maeneo ya raia wengi alafu unaongea ujinga gani hapa!!

Iran ndio mara zote hushambulia makambi na vitalu vya gesi na mafuta n.k na hutoa taarifa in advance, hata balozi za US zote walipewa notice waondoke ndio drones zikarushwa.
Hivyo mara zote Iran mpaka inauwa askari 18 na kujeruhi 600 ila hailengi raia wa kawaida kama USA.
 
Ni sawa na kusema....!

Licha kuwa ulinpiga kila pahala na kunilemea ila hukukiponda ponda kichwa, ulipaswa unipige kichwa...!

Kama ndivyo, basi sawa

Hata hivyo vita bado vingali vikiendelea, labda kichwa kitapigwa..?
Kwani kupigana si ilikua kupindua nchi sasa ikifeli si umeshindwa vita? huko Vietnam waliua watu zaidi ya Million 1 ila bado walishindwa vita sababu malengo yao ya kuondoa utawala wa Viet cong yalifeli same to Cuba waliua watu kibao ila kwa sababu walifeli kuondoa utawala wa castro walihesabika kushindwa vita.
 
Haha babu yenu Dollar bill 13 walizokusanya huko Vene Zuu haijulikani kapeleka wapi .... Naona watu wa usafi wamemuanzishia vita nyingine.
 
Iran hawajaambulia hata Kanali. US wameua kila level ya Jenerali.
Dah!
Sikutegemea komenti kamaHii kutoka kwako.
Kwamba Iran hawajafanikiwa kuua hata kanali TU.
Kwamba Marekani pamoja na Israel wameua wakubwa kibao wa Iran.
Lakini Cha ajabu serikali ya kiislam ya Iran bado Iko madarakani..
Sasa sikuwahi kuisikia kama lengo la vita hii ni kuuliana viongozi wa kijeshi na kiraia.
Ila kama ni hivyo basi USA kashinda.
Basi walipaswa kurudisha majeshi kwao kwa sababu lengo limetimia.

Komenti hii imenikumbusha enzi za utoto tukifungwa kwenye football tunasema "kutufunga magoli mmetufunga lkn chenga twawala."
Leo hii Marekani imekua ya kushangilia kuua viongozi wa adui badala ya kutundika bendera ya Marekani Tehran!
 
Kama ulitegemea kuona comment kinyume na hio pole sana mkuu
Kwasasa hiko ndio kichochoro Chao chakujifichia
Hawana pengine kama kuua viongozi wa kijeshi basi watangaze ushindi waondoke vitani
 
Dah aisee ajabu sana.
Yaani kwanza kasema Iran haijaambulia hata kuua kanali wa USA.
Nikashangaa sana malengo yalikua
1)regime change
Yakashindikana ikaja
2)free straight of Homus
Sasa wamehamia kwa
3) nani kaua viongozi wa mwenzake.
 
Dah!
Sikutegemea komenti kamaHii kutoka kwako.
Kwamba Iran hawajafanikiwa kuua hata kanali TU.
Kwamba Marekani pamoja na Israel wameua wakubwa kibao wa Iran.
Lakini Cha ajabu serikali ya kiislam ya Iran bado Iko madarakani..
Sasa sikuwahi kuisikia kama lengo la vita hii ni kuuliana viongozi wa kijeshi na kiraia.
Ila kama ni hivyo basi USA kashinda.
Basi walipaswa kurudisha majeshi kwao kwa sababu lengo limetimia.

Komenti hii imenikumbusha enzi za utoto tukifungwa kwenye football tunasema "kutufunga magoli mmetufunga lkn chenga twawala."
Leo hii Marekani imekua ya kushangilia kuua viongozi wa adui badala ya kutundika bendera ya Marekani Tehran!
Unatumia vigezo gani kusema Iran kashinda vita?
 
Wana jamvi hamjamboni?

Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa

Swali langu ni

Ni mabomu mangapi yameungurumishwa ndani ya majiji ya Marekani kiasi Cha wamarekani kuelemewa?

Ila ushabiki wa mambo ya vita, ni kitu mbaya sana aisee
iran hajatupia kombora lolote ndani ya marekani ila marekani vita ishamchosha milio kibao...IMAGINE IRAN INGEKUWA INATUPA MAKOMBORA KULE HII VITA MAREKANI INGEMSHINDA 48HRS TU
 
Tatizo la wavaa mashuka ni mihemuko na kupenda mambo ya kufikirika.

Wanakuambia eti iran anampelekesha marekani, lakini in reality ukiangalia marekani hafanyi vita kama magaidi wanavyofanya, hapigi wananchi au infrastructure za wananchi, US anampiga adui hatua kwa hafua. Anatumia strategic na sio jihad.

Kama marekani akiamu kumburuza iran bila ya ubinadamu basi anaweza ila yeye yuko civilized
Hii comment unadhani umekatwa kichwa au unaishi dunia ya kwako peke yao iran alishambulia nchi kama 5 akaua watu wasiozid 20 usa na israel wao waliua watu kama 3000+ nani alikuwa anashambulia hovyo hapo
 
Back
Top Bottom