Hata mgalatia anatumia akili jamaa anaroho mbaya zaido ya mchawi iran wameuliwa watu 3000+ irani imeshambulia nchi kama 5 hivi waliokufa hawazid 20Ukiwa mgalatia alafu ukiwa kilaza unakuwa kama msukule
Yani hata wiki 3 hazijaisha Trump anajitamba kuwa jeshi lake limelipua Madaraja , reli , mitambo ya umeme na maji
Alafu wewe unasema eti USA hawajapiga miundombinu ya kiraia?