Ten men Chelsea ilishindwa kushinda magori zaidi ya 2

Ten men Chelsea ilishindwa kushinda magori zaidi ya 2

makpridash

Member
Joined
Sep 18, 2026
Posts
64
Reaction score
112
Kwa asiyejua soka ataona Chelsea ilikuwa Bora lakini kwa waelewa Jana man united ilikuwa na unafuu mkubwa. Nusu saa ukicheza na wachezaji Kumi na kama wewe ni bora unashindeaje kuongezza ushindi?

Man united inatatizo kwenye beki line. Si kushoto Wala kulia kote hakuna mabeki wazuri hata ilivyo katikati. Mwalimu na viongozi hawana uwelewa mzuri. Wakati wanasajili hawakuilona umuhimu wa kisajili mabeki. Japo walizungumzia umuhimu huo lakini hawakusajili left back na hata right back na ndio maana hata wakishinda 3-0 zote zinazoweza kurudishwa.

Maguire amekuwa kama main backline lkn amepewa cheo kikubwa kuliko uwezo wake.

Kwa Sasa man united haina beki mwenye sifa hiyo. Cha kushangaza zaidi kocha anaweka mabeki 5 nyuma ambao bado wanapitwa?

Kwa ufupi mambo matatu ma united inayopitia ni
1. Management haina focus kwa Sabab haiko pamoja kwenye management hakuna teamwork
2. Wamiliki. Hawa wamekuwa kama parasite, hawajali uwekezaji, wanakula bila kuwekeza. Usajili nk
3. Carrick hana uwezo wa kimbinu. Kwa mfano unamchezesha Andrea Santos kulazimishwa? Amekuwa akizirura na kukosa composure uwanjani, balema na mainoo wanauwezabmzuri kucheza pamoja. Kwansababu wote wanaweza kucheza mmoja namba nane kobi anaweza na bakeba sita.

Kocha anakomaa na hawa alioletewa maana najua hajawaleta yeye. Wilcox na mwenzake ni tatizo katika hii klabu
 
pia kuna tatizo la striker nalo liangaliwe cunha hawezi ile namba labda akiwa anatokea sub ndo huwa anafanya vizuri
 
Back
Top Bottom