Sasa nimeamini dhana kuwa, 'ukilala ukiwa umenyooka unaweza kushinda kirahisi ndotoni'

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Natumai sote tumeshapitia zile ndoto zinazohusisha mapambano kama kupigana, kufukuzwa na mnyama, kujamiiana, kubishana nk.

Sasa kunakipindi mimi nilikuwa nashindwa kirahisi nikiwa napambana nikiwa ndotoni. Jambo hili huwa linaniumiza sana maana huwa sipendi kushinda, haijalishi ni wapi.

Katika kutafuta mwarubaini nikaambiwa kuwa ukiwa umelala huku umejikunja unaweza kupigwa kirahisi na adui, na ukiwa umelala kwa kinyooka basi utashinda pambano kirahisi mno.

Kwa kipindi kirefu nikawa napuuzia dhana hii, lakini kitendo cha Mimi kushindwa battle pindi nikiwa ndotoni kikanisukuma kujaribu kile kinachosemwa.

Wakuu, baada ya kuanza kulala kwa kujinyoosha kama mlingoti, nimeanza kuona matokeo chanya kwani Kila nifanyalo ndotoni basi kinakuwa upande wangu.

Yaani sasa nikikutana na jambazi namnyoosha vilivyo, nikiwa na demu namfikisha kileleni bila wasi tofauti na huko nyuma, nikikimbizwa na Simba hanikamati maana nina speed kama kombora la kibalistiki, hata nikiwa nabishana kijiweni basi napangilia hoja hadi ninaitwa profesa.

Dah ni raha tupu yaani!

Monetary doctor,
Dr am 4 real PhD.
 
ila ndoto bana,, kuna kipindi nilikuaga na upwiruu ule wa ovulation sas usiku mmoja nikaota ndoto nipo na mkaka mzuri mnoo kwenye 6×6 mambo yalikua mazuri mpka pale alipotaka kuloweka tu nikashtuka aseee nililaani vibaya mno siwezi kusahau🤦‍♀️
 
kwahiyo gentleman,
ulipokua ndotoni wakati umelala kwa kujikunja, yaani hata utoke nduki vipi adui yako lazima akukimbize na kukunyaka right?🤣

Na sasa umepata mbinu ya kuondokana na huo unyonge wa muda mrefu na uliokutesa sana.
Unalala wima kama umesimama vile dah

ndoto bana,
ila wengi walikua hawajui hilo na bilshaka leo wamepata mwangaza wa hayo yote 🐒
 
Pole sana mkuu, hii hali inakera sana. Kabla ya kulala mwombe mungu asikukatishe ndoto nzuri 😂.
 
kwahiyo gentleman,
ulipokua ndotoni wakati umelala kwa kujikunja, yaani hata utoke nduki vipi adui yako lazima akukimbize na kukunyaka right?🤣

Na sasa umepata mbinu ya kuondokana na huo unyonge wa muda mrefu na uliokutesa sana.
Unalala wima kama umesimama vile dah

ndoto bana,
ila wengi walikua hawajui hilo na bilshaka leo wamepata mwangaza wa hayo yote 🐒
Si unajua Mimi sipendi kushindwa hadi ndotoni? Sasa hivi nanyooka ili nisiteseke.
 
ila ndoto bana,, kuna kipindi nilikuaga na upwiruu ule wa ovulation sas usiku mmoja nikaota ndoto nipo na mkaka mzuri mnoo kwenye 6×6 mambo yalikua mazuri mpka pale alipotaka kuloweka tu nikashtuka aseee nililaani vibaya mno siwezi kusahau🤦‍♀️
huenda huyo mkaka alikua ndo huyu secretarybird,

ndoto bana dah 🐒
 
Back
Top Bottom