THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Habar,
Kwa Mwaka huu kumeshuhudiwa ufunguzi wa shule nyingi katika sehemu mbalimbali ya Tanzani,
Shule ambazo zinamuundo tofauti na shule hizi zingine za sekondari, shule hizi mtaala wake unasema Mwanafunzi atafundishwa elimu ya vitendo zaid kumpa ujuzi wa shughuli mbalimbali ambazo baada ya masomo ataweza kuzi apply mtaani.
Ila hadi mda huu naona imekua tofauti sana,naona serikali imetumia pesa kujenga sekondari nyingine za mfumo uleule kama zile za kawaida.
Nasema hivi kwa sababu nyingi tu,
Shule zimejengwa ila katika shule hizo hakuna walimu wenye ujuzi, hakuna walimu walioandaliwa kuja kufundisha hayo masomo, kama serikali inaamini Mwalimu aliesoma ualimu wa kawaida ndie huyohuyo atafundisha Amali si wangeongeza tu namba ya walimu shule za kawaida wakaacha kupoteza pesa kujenga mi shule kila kona.
Mfano Shulen somo la kompyuta lipo ila walimu hawapo wa kompyuta..
Shule zishafunguliwa saiv mwez wa 9 ila hadi mda huu Umeme baadhi ya shule haujawaka..je huko wanafunzi wanasoma Amali ipi?
Maji baadhi ya shule hayajafika je huko wanafunzi wanasoma ujasiriamali upi?
It seems hii issue ilikua issue ya kisiasa tu na hizi shule zimekufa kabla hata ya kuanza kutoa matunda kwa jamii.
Because hadi saiv Mtoto alieko form 1 mwez wa 9 huu ukiangalia aliyosoma ni yale yale ambayo mwenzake wa sekondari ya kawaida kasoma..tofauti ni masomo tu yameongezwa au kupunguzwa au kugeuzwa majina over.
Ila sijui kusema kuna skills watoto wanajifunza ni hakuna.
Sa najiuliza hii serikali ilijipanga kweli na hili jambo au imelifanya kisiasa tu.