Mabenki na mitandao pesa washapewa tishio na serikali ya CCM kama watapokea pesa ya michango ya CHADEMA.

Mabenki na mitandao pesa washapewa tishio na serikali ya CCM kama watapokea pesa ya michango ya CHADEMA.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Habari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa.

Na utashangaa waziri anasema wamepeleleza wamegundua pesa zimetoka nchi za ambao wanataka kuharibu amani ya nchi.

Kwa sasa CCM ni kama kichaa
 
Binaadam kama maji, utaziba huku yatapenya huku. Bora tu uyatengenezee njia nzuri vyenginevyo yataingia chumbani
 
Naamini wanaotoa ushauri huo wa kuzibana benki na taasisi nyingine kutopokea pesa za michango kwa cdm ni wanachama waaminifu wa cdm walioko ccm. Lengo lao ni zuri yaani kuiangusha ccm wakiwa ndani yao bila kujulikana yaani kama yule mdudu tumkutae kwenye kokwa la embe.
Nawaombea kutenda kazi iliyotukuka kumwangushia huyo mwenyekiti wao na ccm yake jumba bovu na ccm imfie mikononi mwake nchi ipone!
 
Back
Top Bottom