Nafikiri kama tunaenda kwenye uchaguzi huru na haki Ccm wampe Makongoro awe Mgombea wao

Nafikiri kama tunaenda kwenye uchaguzi huru na haki Ccm wampe Makongoro awe Mgombea wao

1792308892678.jpeg
 
Sina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua .

Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana
Thanks
Mako anaijua siasa vizuri sana kuliko makatuga wengi walioshika nafasi kubwa za kisiasa huko CCM na serikalini.

Mako ni mwanasiasa bora sana sana.
Ni vile hana tamaa na mfumo hauwataki wanasiasa jamii ya Mako (wasema kweli).
 
Sina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua .

Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana
Thanks
2030 Makongoro Nyerere atakuwa na umri gani?
Kwa hali ilivyo sasa unadhani Bibie atakubali kuwe na uchaguzi 2030?
 
Back
Top Bottom