Flavio Bolsonaro akimbilia Marekani baada ya kushindwa Uchaguzi Brazil

Huyu ni kibaraka aliyeangushwa na nguvu ya wazalendo wa brazil wakiongozwa na Lula da silva
Yaani kashindwa uchaguzi,
halafu tena anakimbia mwenyewe :pedroP:

naona ni sawa tu na baadhi ya wanasiasa wa bongo ambao hutukana wanasiasa wenzao halafu inafika mahali wanajistukia wenyewe na kukimbulia uhamishoni na kuishi huko kama digidigi watumwa 🐒
 
Halafu Pro vibaraka wa humu jamvini walijikausha wakajua tutasahau..ha ha ha
 
Back
Top Bottom