Hello jamiiforum
Ni jumapili ya mwisho wa mwezi wa Kwanza mwaka 2025.
Kumekucha kupambana,siyo mapambano ya kazi za kimwili,pengine ni mapambano ya kuridhisha nafsi na roho zetu.
Huko makanisani kumejaa leo,wapo wanaotafuta wenza,wapo wanaotaka kuonana na mchungaji ili kunusuru ndoa zao,wapo...
Huyu ni makamu wako mpe nafasi awe mgombea wako wa uraisi halafu wewe tulia kunywa juice ya embe naamini ccm inaenda kuanguka kupitia huyu mwamba sijaona Cha kuizuia chadema kama wakimsimamisha John heche
CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema...
Kitendo cha kujipendekezea jina lake lipite ni wazi samia kuna mtu au watu anawaogopa. Itakuwa makamba? Au akina nani wengine? Luhaga Mpina hapana huyu hakuwa na issues kwenye UraHis.
Watu wanajiuliza woga wake umetokana na nini? Na wanaenda mbali zaidi kuona kuwa inaonekana hajiamini na kuna...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama ambavyo Sheria, Kanuni na Taratibu za utumishi wa umma zinavyoelekeza.
Waziri Mchengerwa ametoa...
WAZIRI MCHENGERWA: Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama...
Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno...
Wanahitajika walimu wa masomo yafuatayo;
1. BOOK-KEEPING/ ACCOUNTANCY na COMMERCE - ngazi ya shahada ( Awe amesoma ualimu au Course za uchumi na Account Lakini mahiri wa kufundisha
2. PHYSICS-MATHEMATICS
awe amesomea ualimu au shahada ya Engineering na mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo...
Mpo Salama!
Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya kufanya hivyo.
Watu wote waungwana, watu wote wenye AKILI, watu wote wenye kupenda haki, watu wote wenye...
Kazi ya kusafisha mazingira
Huu ni Mradi maalum kwa ajili ya kampeni ya USAFI WA MAZINGIRA & AFYA YA JAMII
Mshahara ni lak 3 kwa mwezi ukifikia lengo la kampuni
Kazi inahitaji mtu mwenye bidii na kujituma 0718408733 hii namba ni Whatsapp tu usipige
Nafasi hizi ni bure kabisa usikae nyumbani...
Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF.
Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam.
Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
Mwanariadha Gabriel Gerald Geay amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Houston Half Marathon kwa kilomita 21 (21K) huko Texas, Marekani kwa muda wa dakika 59:18 muda wake bora na kwa taifa pia
Nadhani inaweza kuangaliwa kama kuna majimbo yanastahili kupitishiwa wabunge wao mapema hii ii yabakie majimbo machache.Maana nilikuwa sijui kama mkutano mkuu wawez kuwa na mamlaka hiv
Mitandaoni watu wote wanaonekana kutokukubaliana na Mzee Wasira 80yrs kuendelea kuwepo kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama. Its like siyo maono ya wana CCM kuwa na viongozi hawa tena kwenye ngazi muhimu kama hizi kwani wanaleta mkwamo wa fikra kwa Gen Z ndani ya chama.
Ushukuriwe utaratibu...
Kwanini wagombea urais wanapenda sana wafahamike kwa wananchi mapema zaidi hata mwaka kabla ya uchaguzi lakini ni marufuku kwa watia nia ubunge na udiwani kuonyesha nia zao?
Hali hii ipo kwenye vyama vyote vya siasa nchini na ukanda wa Afrika. Mfano kwa sasa mgombea Urais au mtia nia ACT...
Nimekuwa najiuliza sana kama nafasi ya uenyekiti wa chadema tu mnaongea hadi mnapitiliza, mnatukanana hadi wazazi wenu, mmefikia hatua ya kuua udugu wenu, zogo kila kila siku, kila mwanachama anaita vyombo vya habari anafyatuka tu, Mbowe anaongea kule, Lissu anaongea pale, Lema yuko kule, Heche...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.