The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Baada ya Dr Emmanuel Nchimbi kubwaga manyanga (kutema mbungo), Ramli chonganishi zinapigwa sana kutabiri nani atachukua nafasi yake
Pamoja na uharamu wa serikali hii, lakini by all means necessary nafasi ya VP mwingine haramu ni lazima ijazwe..
Hawa hawawezi kuwa na sababu anuwai za kwanini hawawezi kuwa, zimeelezwa:
1. Je, ni Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete?
SABABU
- No way!...Uwezo wake ni duni sana
- Dini ni kikwazo. Aliye juu ni dini ile, huyu naye, hawezi kuwa wa ileile
2. Je, ni Mohamedi Mchengerwa?
- No way, hatuwezi kuwa na mama Rais halafu mtoto (mkwe) Makamu wake. Labda Watanganyika tuwe tumerogwa!
3. Je, ni Paul Makonda a.k.a Albert Bashite Malyangili?
- No way!... Huyu amepigwa marufuku kuingia kwenye baadhi ya nchi ikiwemo Marekani kwa sbb ni muuaji (hudhulumu uhai wa watu wengine)
- Ni fisadi wa elimu.
- Uwezo mdogo wa kiuongozi
4. Je, ni Mwigulu Lameck Madelu Nchemba?
- No way. Hana tofauti na Paul Makonda
- Ni muuaji
- Ni mropokaji na mwongo mwongo sana..
- Anafaa kuwa Katibu wa Propaganda wa CCM..
5. Je. Ni Freeman Aikael Mbowe?
- No way!
- Hakuna mwana CCM wa akili timamu atalikubali hili. Wanaweza kumpa nafasi nyingine, hilo halina ubishi kwa mwenendo na akili zake zinavyoonesha. Lakini kwa u VP asahau...!
6. Kwa vyovyote vile hawezi kuwa Mzanzibari au mwanamke mwingine (Asha Rose Migiro kama inavyosemwa semwa) kama alivyo Samia mwenyewe
NOTE:
#Kwa mwenendo wa siasa za sasa unaosukumwa na matukio maovu ya mauaji ya maelfu ya Watanganyika 29/10/2025, Samia Suluhu Hassani na wenzake katika kujaribu kujilinda dhidi ya uhalifu wao, wanaweza kufanya lolote la kuudhi na kushangaza na kuwaletea mtu ambaye ndiye muuaji mwenzake ili wasaidiane kujilinda vizuri...
#Hawa wote kwa vetting ya kawaida yenye kujali heshima ya nchi na maslahi ya taifa, hawana sifa kushika nafasi hiyo lakini kwa maslahi mapana ya kulinda uhalifu wao, sitashangaa muuaji Makonda akawanmsaidizi wa muuaji mkuu Samia Suluhu Hassan!
#Serikali hii ni ya watu wanaunda "Ushirika wa wauaji", Sina shaka kuwa anaweza kuteuliwa VP ambaye ana hasira na mali zake kupigwa moto hapo 29/10 na waandamanaji ili pengine akidhani atatumia nafasi na madaraka yake kujaribu kulipiza kisasi kwa anaowadhania ndio walimtia hasara..!