Habari Wakuu, Kiwanda Kipo Dodoma cha Alizeti kinahitaji wafanyakazi wa ndani ya Kiwanda wenye kujua ku operates Machine mbalimbali.
1. Boiler Operator
2. Refinery Operator
3. Oil Crusher Operators
4. Oil Packaging
4. Forklift Operator
Kama una uzoefu kwenye moja ya eneo hilo naomba tuma CV...
Malaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu zangu mmetoa matangazo ya kazi na kuwataka Watanzania waombe lakini sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya mtandao wenu ni shida kiasi kwamba inakuwa ni vigumu hata kujisajili.
Hali hiyo imesababisha hata wanaohitaji huduma nyingine za kimtandao nao...
Karibu taasisi zote za dini ya kikristo zilizojikita kwenye sekta ta elimu zimekuwa busy mnoo kuusoma, kuuelewa, kujiandaa na kuwaandaa watumishi wake namna ya kwenda sambamba na ujio wa mtaala (sera) mpya wa elimu. Jambo hilo limekuwa likifanyika vivyo hivyo kwa jamii za waumini wa kikristo. Ni...
Gdence Auto Spare Parts and Service ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji wa vipuli vya magari kutoka German na urekebishaji (Service) ya magari hayo.
Ofisi zetu ziko Dar es salaam maeneo ya Sinza na Tandale Tanesco. Tunapenda kutangaza nafasi moja (1) ya kazi nafasi ya FRONT DESK OFFICER...
Habari zenu wana jukwaa?
Hivi hizi ajira za tra let's say sisi watu wenye shahada za uhasibu naona kama kuna kada nyingi sana tunaingia,mfano tax management, customs,accounts officer, auditing etc.
Je inaruhusiwa kuomba zaidi ya nafasi moja?
Nisaidieni maana me sijawahi kuomba hizi kazi za...
https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=h2rmCO7VUQwe_PWb
➡️Huu ni unabii mwingine kumhusu Tundu Lissu kutoka kwa nabii aitwaye "Prophet Denis wa Tanzania...."
➡️ Nimemsikiliza na kumtazama hadi mwisho ktk video clip hiyo. Nimemwelewa na kumuamini kwa kiasi kikubwa..
➡️Anasema kuwa, Mungu ameweka...
We are a building material company supplying high quality building materials
Role Description
This is a contract hybrid role for a Sales Associate . The Sales Associate will be responsible for day-to-day sales tasks, including prospecting, client meetings, and closing deals.
The role is for...
Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA.
Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao
Wasio na connection wanatoboa hapa ?
Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati Ndugu zake, Mtoto wake, ndugu wa mke wake hawana ajira ?
Wakuu natumaini mpo salama ,, moja kwa moja kwenye mada ..
Ni hivi katika ajira hizi zilizotolewa na utumishi hivi karibuni ,, nimeona walimu wa Economics wakizuiliwa vikali kuomba nafasi ya kwenda kufundisha somo la business study ( commerce ) ..
Somo la bussiness study
Hili ni somo...
Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria.
Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic Complexity (OEC) inaeleza.
Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Tanzania ilitumia Sh379.921 bilioni kuingiza nguo...
Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi.
Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA!
Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania.
SIFA ZA MKOPO:
✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
Wanaume mpo?
Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka.
Mapunda amesema kuwa atabadilisha mfumo wa talaka kwamba usimuumize mwanaume.
Amesema kuwa mfumo wa uliopo wa kugawana 50/50 na mwanamke...
Waasi wa 23 wanasema lengo lao ni kufika Kinshasa na kuiangusha serikali ya Tshisheked, je wataweza.
JE IPI nafasi ya Tanzania km nchi yenye nguvu ya kijeshi afrika mashariki na rafiki wa kiuchumi na Congo.
Afande G. Mkunda
Ni muda wako wa kulinda historia na heshima ya muda mrefu iliyowekwa na watangulizi wako
Yanayoendelea DRC hatuwezi kuyaacha yaendelee, Sisi kama MABABU wa ulinzi na ukombozi katika ukanda wa east na south Africa ni fedheha kuona mgogoro huu unaendelea na Sisi tumekaa tuu bila...
Wakishapewa mikopo na bahasha wanaongea tu none stop.
Kila mtanzania anaepata nafasi ya ulaji anabadilika moja kwa moja.
Kila mmoja anaangalia tumbo lake hata kama litakost wengine.
Pesa ya kuwapeleka wasanii dodoma ipo ila kuweka gloves za wazazi kunifungulia hakuna.
Chawa wamekua kirusi...
Ni aibu ufafanuzi wake kuhusu clip inamfunua akikebehi maskini hasa wagonjwa wasio na uwezo kiuchumi kujigharamia , lugha yake ya mwili katika kujitetea hauji katika ukweli awamu hii Chalamila amekamatika tena ajiuzuru ama afukuzwe haraka sana amevimbiwa,.
Huyu mtu pumbavu wa kutupwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.